Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wanafunzi wa KIKE wa Shauritanga -Moshi ,KILIMANJARO waliotokwa ROHO tarehe 18/06/1994- UNAWAKUMBUKA?

>> Saturday, June 18, 2011

Wanafunzi wa KIKE  lukuki  tarehe kama hii ,...
...MWAKA 1994 walifariki SHAURITANGA!:-(
Swali:
  • Je unakumbuka?

Na tokea tukio hilo,...
... marudio ya TUKIO kama hilo katika shule  za bodingi  TANZANIA yamezidi kuibuka.:-(

Swali:
  • Je unakumbuka hilo?
  • Je kwa kuwa labda hakuna aliyekuwa ndugu yetu katika matukio-JE TUSAHAU?
  • Kunatujifunzalo?
  • Kuna turekebishalo?


Ndio ,....
....ingawa kuna wakati THE EAST AFRICAN GAZETI lilidai tukio hili lilifanyika tarehe 25 na sio 18 kama katika ripoti:

Dar — es-Salaam - When 42 Tanzanian schoolgirls perished in a dormitory fire in Moshi four years ago, no-one thought such a tragedy would occur again in the east African region so soon.

But last week neighbouring Kenya was burying another group of unfortunate schoolgirls - 22 of them - who had died in exactly the same circumstances as the pupils of Shauritanga Secondary school on June 25, 1994.

Na;...
...Robert Rweyemamu

Swali:
  • Je unakumbuka?


R.I. P wote ,...
....mliokumbwa na janga hili au na kama JANGA kama HILI!:(
Ni hilo tu!:-(
Na ni wazo tu hili  MHESHIMIWA..
...katika KUMBUKUMBU!:-(


Hebu Eric Clapton aimbe wimbo alioutunga baada ya kufiwa na mwanae,...
......ule
- Tears in HEAVEN


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel Siwa 9:37 pm  

Nikumbukumbu Muhimu sana,pole wote walifikwa na mkasa huu.Ahsante kaka Kitururu kwa kukkumbuka hili na kutukumbusha pia.

Simon Kitururu 11:02 pm  

@Rachel!

Labda kihivyo usemavyo ni WAZO tu!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP