Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa WAUAO labda hawana hamu ya KUUA na wakati wanaua huwa wanafikiria UBWABWA!:-(

>> Monday, June 06, 2011

Kama  wauao wangekuwa wanafikiria wafanyacho ni kuua,...
.... akina BARACK OBAMA au tu NYERERE  kwa maamuzi yao kama VIONGOZI  ,....
... kisa IDD AMINI au tu BIN LADEN msumbufu ni  bomba la kuua"!:-(

Swali:
  • Kwani unafikiria  sio  MTU mwenye BUNDUKI na  ni BUNDUKI iuayo kwa hata kisingizio kuwa jamaa alengwaye ni MWIZI?


Ndio,....
.....kama unakula nyama ya BATA   na uwazacho ni utamu wa chakula kama nyama,...
... unaweza kusahau ulacho ni MAITI ya BATA na labda vifaranga vyake vimebakia yatima aisee!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu Dr Jack Kevorkian amabaye hasiti kusema kuwa ukijisikia kufa kwa msaada wake atakuua ajielezee kwa nini anajulikana kama - Dr. Death



Samahani Dr Kevorkian aongee tena katika .... I Have "No Regrets" Being "Dr. Death"




AL PACINO aliyeigiza kama Dr Kevorkian katika muvi You Don't Know Jack aongee...




Ok Ok labda tubadili topiki kwa msaada wa Gregory Isaacs katika-All I have Is Love




Au tu Lady Bee aingilie kati kwa kuwa - Mrembo

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP