Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa yasemekana MTU asipoonyeshwa CHOO ni kipi, popote huweza kugeuka CHOO!

>> Wednesday, June 01, 2011

Ndio,....
....AFRIKA nzuri huweza geuka CHOO,...
... kama tu SEBULE nzuri huweza kugeuka CHOO kama haitunzwi na NYUMBA yenyewe haijaisha kujengwa,...
...... kitu kifanyacho kila mpitaji aliyebanwa na haja kujisikia huru kwenda HAJA tu kwa kuwa wenyewe hawapo na kama wapo nyumba waijengayo ILIYOZUNGUKWA  na VICHAKA  pembeni ya barabara  HAWAILINDI .:-(

Swali:
  • Ushawahi kutembelea NYUMBA ijengwayo ambayo hailindwi ingawa ina PAA tayari  bila kustukia kuna wajanja wameigeuza CHOO  au tu GESTI bubu?

  • Kwani hujawahi kama MTANZANIA kuiwaza TANZANIA kama NYUMBA NZURI ijengwayo pembeni ya BARABARA kwenye vichaka  ambayo wajanja wanaigeuza CHOO ?

Ndio,...
...labda CHOCHOTE huweza kugeuzwa CHOO,..
... na kama unabisha  ichunguze TANZANIA!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !
Mungu IBARIKI Tanzania!:-(

Hebu Christopher Tin arudie-BABA YETU



Viviane arudie-Kumu Neexul




Au tu hebu MONIQUE SEKA anyuke tena -Mario


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP