Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri LEO kimawazo UMEJISITIRI?

>> Saturday, June 25, 2011

Ndio,...
.... inasemekana kuna uwezekano watu wengi ambao unakutananao BARABARANI kimawazo HAWAJAJISITIRI,...
.... ndio maana HOTUBA za WAJANJA, au hata MAHUBIRI tu matamu KIUJANJA  wakikutananayo katika pitapita zao ,...
....KIRAHISI wanaweza kugawa mpaka ROHO !

Swali:
  • Unafikiri UMEJISITIRI?

Ndio,...
.... unaweza kugeuza  mpaka DINI,....
...kukubali kirahisi ukitongozwa ,...
....au tu kujikuta huna MSIMAMO  kwa kuwa yawengine  yanafanya usijiamini  NA YAKO kwa kuwa tu HUJAJISITIRI!

Ni wazo tu hili MKUU!


Hebu OSIBISA warudie-Welcome HOME



Au tu Osibisa warudie tu na-Woyaya



Kabla tu hawahawa OSIBISA hawajasigina tu na ndude - Che Che Kule

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP