Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna MTU anakufa SASA hivi,...

>> Monday, June 27, 2011

... na kuna MTU anazaliwa SASA hivi!

Swali:
  • SI unajua  kunauwezekano pia kuwa kuna  MTU anapata mpaka  MINYOO sasa hivi?
  • Si unajua labda vile vyote ulivyowahi kufikiria kuwa vinatendeka kama hata vile vya kukeketa mabinti labda kuna avifanyaye sasa hivi?

Ndio,....
... ingawa tupo tuaminio kuwa hakuna MTU mwenye afya 100%,...
....labda kuna MTU ambaye ndio anaanza kupata afya hata ya KIAKILI sasa hivi!


Tunakumbushana tu kitu MHESHIMIWA ,..
...katika staili hii ya UjingaBUSARA!:-(

Hebu Garnet Silk abadili wazo kwa kumsifia-MAMA


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP