Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P Clarence Clemons !

>> Sunday, June 19, 2011

Clarence Anicholas Clemons, Jr.( 11.Jan.1942 - 18.Jun.2011)


Hebu aongee kidogo....
Au hebu atupigie tena SOLO...
Rest in PEACE BIG MAN!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 9:15 am  

Mkuu, mkuu...i wishi ninge...oooh, jamani mtandao hautaji niusikilize huu mziki...ila tupo PAMOJA MKUU!

emu-three 9:16 am  

R.I.P C.C!

Simon Kitururu 4:13 pm  

@M3: Jamaa namuheshimu sana kimiziki ingawa inasemekana KWA watu weusi walikuwa wanamuona kabobea kwenye miziki ipendwayo na Wazungu kuliko watu WEUSI na ndio maana hajulikani sana katika seko za watu weusi!


Ila ukimfuatilia katika kazi yake afanyavyo kazi jamaa alikuwa kiboko!

R.I.P Big Man!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP