Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika SAYANSI ya KUJARIBU!

>> Monday, June 20, 2011

KUJARIBU labda ni kwa WASIO na uhakika,...
... kwa kuwa kama MTU anauhakika asingejaribu bali angefanya tu!:-(

Swali:
  • AU?
  • Lakini si LABDA  kuna wajaribuo hata vile ambavyo wanauhakika navyo?

Na kama unajaribu  ambavyo unauhakika navyo,..
... basi wewe HUJIAMINI!:-(

Swali:
  • Lakini unadhani  BINADAMU na madhaifu yake ya KIBINADAMU yajulikanayo kujiamini sio ukichaa?
  • Unajiamini?

Ndio,...
... labda wasiojiamini,...
.... ndio wathaminio UBINADAMU wao!:-(


Ni wazo tu hili KAMANDA !
Jumatatu njema!



Hebu Joe Arroyo aanzishe upya kwa - Yamulemao



Hebu Joe arroyo arudie- La fundillo loco




Au tu JOE ARROYO arudie tu na - COFUNDIDO



0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP