Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa MTU huweza kupewa HONGERA hata kwa KUJINYEA,...

>> Saturday, June 04, 2011

.... labda kuwa MWANGALIFU na usifiwayo nayo!:-(


Swali:
  • AU?
Kwa hiyo labda  JIHADHARI na HONGERA  za chapuchapu za watu,...
.... kwa kuwa zinaweza kuwa ni HONGERA uchwara tu!

 Swali:
  • AU?

Ndio,...
... HONGERA nyingine labda ni MATUNDA ya mtu kukosa cha kuongea nawe,..
.... kisa MZURI , hajakuzoea , au tu anashindwa kupata topiki kwa kuwa unamatege kama NYAU !:-(

NI wazo tu HILI  Mheshimiwa!:-(Hebu tukamsalimie Mheshimiwa Robert Mugabe kidogo...Au hebu Garnett Silk aingilie kati kwa-Retreat Wicked Man

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mcharia 12:52 am  

Na kwa kuwa wewe ni mmoja wa watoa hongera, labda ndio maana umestukia kuwa kumbe hata wakati mwingine badala ya kigugumizi hatmaye imeonekana ni kukosa neno la kuendeleza mazungumzo.

Umenifanya nimkumbuke MR.BEAN.

Nimerejea tena Mkuu wa UjingaBusara mawazoni.

Goodman Manyanya Phiri 2:34 am  

Na kama wewe Simon unaishi maisha yako kwa maadili ya Mungu: [Love Your Enemies and Pray For Them], TARAJIA KWA VYOVYOTE HONGERA ZOTE NI BANDIA TU kwani wote walio karibu nawe ni adui zako!


Mimi nimependa ile video yako kuhusu Gabriel. Sasa nimekwisha elewa kwanini kiongozi wa vijana Afrika Kusini awe moto moto baada tu ya kurudi Zimbabwe!

http://www.youtube.com/watch?v=EpIcwctC7nQ

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP