KUKAA UCHI VIZURI ukubwani LABDA ni swala WAKUBWA wajifunzalo tu tena UKUBWANI!
>> Wednesday, June 15, 2011
Na kukaa UCHI ukubwani,...
... kwa wakubwa wengine hukuita ni kukaa nusu UCHI!
Swali:
- Si labda nguo aiitayo MKUBWA kuwa inamfanya aonekane SEXY/Anamdungo MNONO- labda ni ile ambayo KWA BAADHI ni imkalishayo uchi KIMADOIDO?
 - Ulipokuwa MSICHANA si labda ndipo ULIGUNDUA madhumuni ya CHUPI kama bichikoma umuhimu wake ila kinamna katika kufariji matako hata ya mbele ukastukia ulainisha ikibidi labda inabidi usivaekitu ili duka la mzungu liwe wazi?
 
Ndio,...
.... yasemekana MOJA katika WAKUBWA wajifunzayo UKUBWANI,...
.... ni kukaa UCHI bila aibu!:-(
Na ukikua hata UKUBWANI,..
.... yasemekana kuna kujifunza upya UKUBWANI- na  moja wapo KATIKA KUKUA  kisomewacho  ni jinsi ya kukaa uchi kisa kwa kuwa inaaminika WAKUBWA wana kificha nyeti hata kama kifichwacho wala sio tundu  ila ni kificha nyeti CHENYEWE  kwa kuwa kina msaada wa kisaikolojia   umtoaye mkubwa aliyekaa uchi kuona AIBU.:-(Swali:
- AU?
 
Ndio,....
....inasemekana WAKUBWA  labda wako UCHI ila ni aina tu  ya KIFICHA NYETI waiaminiyo  KIMAWAZO YAO ndio hugeuza MAVUZI kuwa masharubu au tu NDEVU za chini!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu DIAMOND aingilie mpanuo kwa kuununisha kwa-Nitarejea 
Mutabaruka arudie - Johnny Drughead
Mutabaruka a-Dispel the lie
Mutabaruka azime tu manyanga kwa ndude- Whey Mi Belang 
Linton Kwesi Johnson asome barua  ya SONNY katika- Sonny´s Lettah 
Linton Kwesi Johnson andelee kuongea akiwa na MARAFIKI.....
Amwage -Forces of VIKTRI
Azime nyasi /mavuzi ya moto KILINTON kwa - Want Fi Goh Rave
Ili Mutabaruka arudi kuweka nukta kwa -It no good(to stay in a white man country too long) 
 



1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Simon huyu Mutabaruka ni nduguyo? mmefanana kweli ...
Post a Comment