Haya kila mtu ana mwanamziki amkunaye kisauti:-)
MDADA wa KIKONGO akukunaye kisauti za uimbaji ni nani?Mie hugeuka kuanzia Abeti Masikini Tshala Muana, Mbilia Bell, Mpongo Love ,Faya Tess,...... kuna siku huwa ni zamu zao nikiwa na mudi ya miziki ya KIKONGO@Kapulya
Labda Mbilia Bell..Yondo sisters ni Mkongo pia au? nachenganya nahisi kama mzaire? Kaaaazi kweli kweli mpaka kuwawekea zamu...
@Yasinta: Kwani kuna Nchi iitwayo ZAIRE siku hizi?
:-(!
kaka nimekubali huyu dada ana sauti ya ukweli. kweili amechokoza
@Yasinta: :-(@Anony.: Aisee sauti ya mdada sikioni mwangu imetuna na comment yako imenionyesha siko peke yangu katika hilo......... na jichoni katika furaha za macho ana matibabu ya mtulizo fulani kiana pia aisee!
Post a Comment
© Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008
Back to TOP
7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Haya kila mtu ana mwanamziki amkunaye kisauti:-)
MDADA wa KIKONGO akukunaye kisauti za uimbaji ni nani?
Mie hugeuka kuanzia Abeti Masikini Tshala Muana, Mbilia Bell, Mpongo Love ,Faya Tess,...... kuna siku huwa ni zamu zao nikiwa na mudi ya miziki ya KIKONGO@Kapulya
Labda Mbilia Bell..Yondo sisters ni Mkongo pia au? nachenganya nahisi kama mzaire? Kaaaazi kweli kweli mpaka kuwawekea zamu...
@Yasinta: Kwani kuna Nchi iitwayo ZAIRE siku hizi?
:-(!
kaka nimekubali huyu dada ana sauti ya ukweli. kweili amechokoza
@Yasinta: :-(
@Anony.: Aisee sauti ya mdada sikioni mwangu imetuna na comment yako imenionyesha siko peke yangu katika hilo.....
.... na jichoni katika furaha za macho ana matibabu ya mtulizo fulani kiana pia aisee!
Post a Comment