....ingawa LABDA KITUMBUA na ANDAZI sio tofauti sana ,...
.... ingawa MAANDAZI bado katika mfanano bado andazi laitwa ANDAZI!:-(
Swali:
KWANI unafikiri ANDAZI ni tofauti sana na KITUMBUA?
SI labda hatujui MAANDAZI kwanini kwa KISWAHILI yanaitwa MAANDAZI tukidadavua undani hata wa MAANDAZI hata wakati tufikiriacho ni MAANDAZI na sio KITUMBUA?
Ndio,...
... labda kunasababu PEPSI haiiitwi KOKAKOLA ,...
.... hata MPAKA kinamna nasio wale wasio kinamna WAJANJA,...
... hata wale wenye MPAKA kuchanganya PEPSI na COCACOLA!:-(
NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA !
Hebu LEADBELLY arudie-Irene Goodnight
Au tu R. KELLY alainishe kitobo kwa -I believe I can fly
......labda moja wapo ni WATU kutaka KUHESHIMIWA!:-(
Swali:
AU?
Na kwa kuwa kuna siri,...
...zifanyazo watakao KUHESHIMIWA,...
....labda zaweza kufanya wafikiriacho na wafanyacho WAHESHIMIWA kwa kuwa sio vya KIHESHIMIWA,...
... labda hicho ndio MOJA YA SIRI ya kwanini unaheshimu WAHESHIMIWA FULANI,....
....kwa kuwa kunaaminikika kwa kuwa KAMA hakiko HADHARANI basi hicho kwa kuwa HATUJUI na tunaheshimu MTU ni cha HESHIMA HICHO kwa kuwa afanyaye hicho tumeshajijengea ni MHESHIMIWA hata kama twajua labda NI MATUSI MATUPU kwa afanyaye NGONO hata kwa kuwa kiheshima hicho kikuna UTUPU safari hii hakiitwi kutombana,...
.... hata kama ni kwa kuwa hatusemi hata hilo KISIRIkwa kuwa kiheshima ni SIRI.:-(
NA siri ,....
..... labda ndio sababu hata TANZANIA labda ni MASIKINI hata katika kugawia MASIKINI utajiri ingawa,...
....hata kama twajua VIONGOZI WA TANZANIA na wasio masikini BONGO aka TANZANIA,...
....kwao TANZANIA ni tambarare ingawa labda HILO NALO wala sio SIRI.:-(
Siri,...
.....inaweza mpaka KUCHAKACHUA hata ya MTU,....
....na kufanya mpaka ya MTU ya ukweli ujulikanao NI KWELI ila kwa kuwa NI HESHIMA kufanya kwa sababu hata za kusingizia MAADILI kufanya HATA tujuavyo ,...
....kiheshima ni SIRI.:-(
Swali:
AU?
NAWAZA tu hapa MHESHIMIWA na usikonde MKUU!:-(
Hebu tuhame wazazo tena kwa chupi ivuliwayo na Tippa Irie katika - Complain Neighbour
UHURU ni kitu ambacho wachache ambao hata wanaamini wako HURU,...
... wanautumia.:-(
Na kwa kuwa kuna walioko HURU;...
.....labda uhuru wao wakati wanastukiwa wako HURU ni pale tu wakati ghafla wanatuambia maoni yao kisa Simon KITURURU kaonekana hadharani akitamka anapenda KUMA kama wao tu labda wapendavyo MBOO,...
....
.... hata kama ni kwa kuwa labda ni TAKO hata KATIKA kunyegelesha watu HAO katika kunyegeleshwa ndio wanacho tumia.:-(
Swali:
Kwani unafikiri kama matumizi yako ya CHOO ni choo kukojolewa au KUNYEWA kwani bado sio kweli labda CHOO kina haki YA kupuliziwa mpaka PAFYUMU hata kama ni kwaajili tu ya baaada ya KUNYA waiokunya wakati huo labda wakihusishe CHOO na harufu nzuri?
Ndio,...
...wakati kuna WAJITAHIDIO kupata UHURU angalau hata wa kunya choo kimoja na MABOSI wao,...
.... LABDA kuna wasahauo kuwa kuna ambao LABDA wananyanyasika na mpaka ,...
.... KWA KUNYANYASIKA wamefikia mpaka KUAMINI kuwa haki ya KUNYA PEMBENI YA CHOO bado umuhimu wake sio ule wa kunya ,...
...... kwa kuwa kutokana na yote waliojifunza KIHESHIMA ,...
....umuhimu hata WA aliobanwa haja kubwa ni CHOO na sio KUNYA.:-(
Swali:
Unabisha?
SI inasemekana labda ni kweli labda hata wasiotumia KUMA na MBOO kama tu watumiao KUMA na MBOO na tundu la TAKO PIA labda sio muhimu kuongelea KUMA na MBOO kwa kuwa labda kiheshimiwa kuongelea siasa au udaktari ndio utajulikana una akini na ndio boma la KITU kiheshima?
Ndio,...
... nawaza tu hapa MHESHIMIWA hata kama kiuheshimiwa wako sio heshima kutamka KUMA na MBOO hadharani.:-(
BASI tubadili wazo kwa utoko wa asiye MBWA JIKE wa Paquito D'Riveira katika mtuno wa kidude kisicho na utoko- To Brenda With Love
KUKU wa kienyeji siku hizi TANZANIA kama hutaki kustukia labda inawezekana ni KUKU wa KIZUNGU ,....
... labda inabidi umdadavue KIVIPENGELE BONYEBONYE KWELI ili ujue kwa kuwa sio MUARABU labda NI KWELI muonekano wake ambao MPAKA hana nywele za kipilipili sura YA BINZARI hata kama sio MSOMALI,...
...labda kibidii fulani za kutafuta atakavyo tumuone yeye kikwini ni bonge la KINGI .:(
Na labda KUKU wa kienyeji KIAFRIKA siku hizi,...
.....labda ni yule ambaye hujui HATA nywele zake za kienyeji ni zipi ,...
.....kwa kuwa LABDA kachoma nywele au tu kaongezea nywele za MHINDI katika USUSI , .....
...na labda wakati ana nywele zisizo za KIZUNGU ,...
....bado kavalisha kichwa WIGI.:-(
Na KUKU,...
...wa kienyeji siku hizi,...
.... labda hata kumdaka inahitaji usasa kwa kuwa hata matembezi yake UKIKAA KIENYEJI utakacho watu waelewe kuwa ni ``NAZITAKA mbivu hizi´´,...
... kama wewe SIO mwenyeji kwenye tobo LABDA unawezakuta KIGUNZI na labda kweli ndicho katika kuzuia watamanio ``NDIZI MBIVU´´ gunzi kwenye tobo laweza kuwa katika kuzuia MENDE ASIINGIE ndio ifanyayo kazi ya KISIGI.:-(
Swali:
AU?
SAMAHANI hebu tuanze TENA ni nini kilichonipindisha mawazo kutoka kwa Prof. MBELE katika chombo cha ujumbe kiitwacho-`` KITIMOTO´´
Au tupate tu mdadavuo uliofanya kutoka topiki yenye kichwa cha habari `` KITIMOTO´´ kimefanya mpaka nimefikia hapa,...
.....na kabla ngojea niombe MSAMAHA kwa kumuhusisha mtu bila kuomba ruhusa,...
SAMAHANIProfesa MBELE kwa kuanza mbele bila ruksa na baadhi ya vitu nguli nilivyotoa kwako HAPA ambapo ni kijiwe nikihusudishacho sana tu!:-(
...ambavyo ni:
Blogger SIMON KITURURU said...
Naombea tu nyama zetu zisiingie magonjwa ya ajabu ajabu TANZANIA kwa maana tutapukutika sana tu!
Kwa maana kuna udhaifu sana katika kukagua usalama wake. Na kama magonjwa kama yale ya kichaa cha ng'ombe na mengineyo yakianza kutawala Tanzania cha moto tutakiona kwa kuwa sidhani kama kuna mzoga utatupwa na kuchomwa uteketee kama wafanyavyo wenzetu nchi tajiri.:-(
Na nasikia mpaka CHIPSI ni kawaida kabisa kutumia mafuta ya transformer za umeme kwenye vikao vingi tu.:-(
January 27, 2011 8:20 PM
Blogger emu-three said...
We acha tu, na watu wanavypenda kuila hii nyama ya nguruwe...kwanza ina mafuta mengi...halafu ...oh, ...na wengine sasa wanaila kwa `ushabiki'..tuangalieni na afya zetu kwanza, mafuta mengi ni hatari!
January 28, 2011 12:48 AM
Blogger SIMON KITURURU said...
Nakubali kuwa kuna mapungufu katika vyakula UGHAIBUNI kutokana na makemikali na nakadhalika lakini angalau wenzetu wanajinsi ya kufuatilia. Sisi kwetu mpaka uoteshaji wa mazao unageuka siku hizi.
Makemikali hata Tanzania yamebobea, mbolea za chumvichumvi nk. Kwa hiyo unaweza kukuta unakula kitu ambacho unazania ni freshi na hakina kemikali lakini kinazo.
Nakumbuka kwa mfano shamba letu la mahindi Songea kabla Baba yangu hajaliuza ilifikia bila mbolea za chumvi chumvi hupati kitu na pia hata kulima nyanya ilikuwa madawa kwa kwenda mbele.
Nachojaribu kusema ni kwamba Tanzania haina usimamizi wa afya za watu katika mazao na vyakula viuzwavyo. Magharibi pamoja na makemikali yao angalau wana institutions zinazofanya kazi kila siku kujaribu kukabili hali!
Ila mengine nakubali kabisa ulicho sema.
Narespond hivyo kwa comment hii hapa chini ambayo niliidaka hapo kabla halafu sasa siioni ambayo ni :
``Napenda kuwamegea kidogo uzoefu wangu, nikiwa mzoefu wa u-Swazi na mteja wa kuaminika wa kitimoto :-)
Mkaanga kitimoto ana wateja wengi ambao ni wateja wa kudumu, watu wa karibu yake, kuanzia marafiki, na pengine ndugu. Anawafahamu; anawapenda na kuwajali sana. Ana uchungu nao. Hawezi kuwafanyia jambo la kudhuru afya zao, labda iwe bahati mbaya au kutojua.
Yawezekana akatumia mafuta ya transfoma, kwa kutojua madhara yake. Lakini akielimishwa, naamini ataacha, maana hawezi kufanya kitu kwa makusudi cha kumdhuru ndugu yake, rafiki yake, au shangazi yake anayekuja kula kitimoto hapo.
Kama ni vyakula bomu, ughaibuni ndiko kwenyewe. Kuku wanalishwa kemikali wakue upesi. Matunda yanakaa "supermarket," hadi kupoteza thamani yake kwa afya ya binadamu. Lakini yanamwagiliwa maji ili yaonekane "fresh." Lakini ni matunda bomu. Na kadhalika.
Tofauti na kitimoto, wanaoandaa vyakula ughaibuni ni makampuni ya kibeparti ambayo lengo lao ni kuchuma pesa. Hawamjui mteja.
Na sasa hao mabepari wasiotujua wametua Bongo na "supermarket" zao zenye kuku kutoka Brazil, vikopo au vipaketi vya juisi ya machungwa vilivyofungashwa Dubai, na kadhalika.
Na wa-Tanzania walioenda shule sana utawakuta kwenye hizo "supermarket." Shule imewaharibu; wanaamini kuwa kwenda "supermarket" ndio maendeleo.
Mimi napendelea u-Swazi. Ukikatiza mtaa kama unavyoniona kwenye picha hapo juu, unakutana na mkokoteni umebeba maembe yaliyoteremka leo leo kutoka Morogoro, au unakumbana na genge panapouzwa machungwa yaliyoshuka asubuhi hii kutoka Msoga kwa Kikwete :-)´´
January 28, 2011 7:07 AM
Blogger Mbele said...
Lo, ndugu Kitururu, kumbe makala yangu uliiwahi hivyo, maana niliiondoa ili kurekebisha pale nilipotaja kitabu, lakini nimerejea tena nikaona umeshaniwahi. Sasa basi, sitaiweka tena, maana itakuwa ni kurudia hicho kipande ulichokinukuu.
January 28, 2011 7:20 AM
Blogger SIMON KITURURU said...
@Prof.Mbele: Mtandao unatisha! Yani uki press tu send kitu mtandaoni jua kuna mtu labda kashakidaka!:-(
January 28, 2011 8:06 AM
Blogger Mbele said...
Ndugu Kitururu, ni kweli unavyosema. Na wewe ni msomaji makini kuliko kawaida. Samahani kwa usumbufu niliosababisha kwa kuondoa makala na wewe ukakuta patupu :-(
Lakini mada yenyewe ni muhimu sana, na hayo unayosema, kwamba kemikali na matatizo mengine yameshaingia Bongo ni ukweli.
Inatisha, maana sasa suali linakuja: Je, kuku wa kienyeji ni wa kienyeji kweli? :-)
Na yote yalianzia kwenye shule hii aliyokuwa anatoa Prof.J. MBELE ,...
....kama kawaida yakeWAKATI anafundisha wale wafikiriao hawako DARASANI kama:...
Kitimoto
Neno kitimoto ni maarufu Tanzania. Kitimoto ni nyama ya nguruwe; inapendwa sana katika mabaa na sehemu zingine. Ubora wa kitimoto ni kivutio kwa wateja na neema kubwa kibiashara kwa wenye baa. Hapa kushoto ni sahani ya kitimoto ambayo niliinunua kwenye baa moja Sinza, hatua chache kutoka Lion Hotel.
Ninapokuwa katika miji kama Dar es Salaam, napatikana mitaa ya u-Swazi, kama inavyoonekana katika picha hii, iliyopigwa Sinza, bondeni ukifuata barabara inayopita mbele ya Lion Hotel. Kwa wale wasiojua, neno u-Swazi linamaanisha sehemu wanazoishi wananchi wa kawaida.
Hapo kushoto kuna baa na sehemu ya kitimoto ambapo nimeshakuwa mteja mara kadhaa. Picha hii inaonyesha jinsi mwenye kitimoto anayotangaza biashara yake. Tofauti na zamani, anaweza kuagiza nyama kutoka bucha kwa kutumia simu, na anaweza kuchukua oda za wateja kwa simu pia.
Pamoja na umaarufu wake, kuna hisia tofauti, michapo, na utani kuhusu kitimoto, mambo ambayo yanaweza kufanyiwa utafiti kama sehemu muhimu ya utamaduni wa leo wa m-Tanzania.
Sasaaaaa!....
...bado ,...
....SWALI alouliza Prof. J. MBELE :
Je wewe unafikiri ``Je, kuku wa kienyeji ni wa kienyeji kweli?´´:-(
Hivi kuna uwezekano KUKU wa KIZUNGU au angalau aitwaye ni wa KIZUNGUsio wa KIENYEJI kisa kakua haraka, hana tako au tu kimuonekano hajakomaa sana hata katika kukomalia SHUGHULI, - samahani hivi ni kweli kuna KUKU asiye wa KIENYEJI?
Hebu Roy Ayers na Erykah Badu walainishe katika kubadili matusi kwa - Searchin'
Au tu ZAP MAMA amalizie TU na kinu NYAMANYAMA kilichobenjuka tayari kiitwacho -RAFIKI
... labda kwa kuwa wao ni SURA tu ya JAMII ya WATANZANIA,...
...wait a minute,...
.......KWANI hivi ni kweli MAPUNGUFU ya jamii ya TANZANIA ni makosa tu ya VIONGOZI wa TANZANIA?
Ndio,...
....Lakini bado INASEMEKANA ,....
....KULAUMU au KUTUKANA kwa kawaida NI kutamu kama alaumiwaye NA ANAYETUKANWA ni mtu mwingine tu !:-(
Ndio,...
... bado ni kweli NAWAZA TU hapa na kwa bahati MBAYA wakati nafikiria mchango wangu kwa TANZANIA ni nini,...
.......hasa wakati najua MCHANGO WANGU hata kwa NDUGU ZANGU labda ni mdogo sana,....
.....bado najiuliza:
Kwani ni vibaya hata wewe ukifikiria LABDA SIO KWELI kila tatizo ni la wengine na wewe labda umechangia HATA KIDOGO angalau HATA KATIKA kusababisha UMENASA BADO KWA mpenzi wako mwenye sura MBAYA ila mtamu au YULE mwenye sura nzuri ila SIO MTAMU?
Ndio,...
... labda kuna nafasi za watu ZIWAPAZO nguvu zaidi ya kutoa MCHANGO MKUBWA zaidi hata kwa IBILISI,...
.... lakini bado ni kweli kiadoado hata wasio na nguvu wanaweza kuchangia yasiyokaa mkao wa KIIBILISI!::-(
Swali:
AU?
Ila MCHANGO MKUBWA na mdogo unafikiri ni kitu BINADAMU awezacho kujua wakati tunajua kuna michango isifiwayo kuwa ni mikubwa ambayo haichukui muda kuna kitu kina bumbuluka kuwa ilikuwa MICHANGO USHUZI MTUPU wakati michango midogo midogo kama ya kumchekea mtu ikaokoa maisha ya mtu kwa kumfanya mtu afikirie angalau anasababu za kuishi kwa kuwa angalau bado wajanja wanamchekea au ile ya kumpa tu mtu UBUYU na hata sio KEKI ambayo ikasababisha muuza UBUYU aendelee kuwa na kazi?
Ndio,...
.... kuna mchango mpaka WA michango midogo kweli kama michango ya vielea ndani ya shahawa ,...
.... ambayo HAKI YA NANI HATA UKICHUNGUZA kwa kuwa HUNIAMINI utagundua kuwa huzaa SAA NYINGINE NYINGI bonge la uwezekano wa BONGE la MIMBA!:-(
Na samahani WAHESHIMIWA hasa NYIE akina NYERERE kama mmenunakwa kuwa nimetanguliza SHENZI mbele yaMAJINA yenu!:-(
Nawaza tu hapa MHESHIMIWA kwa staili ya UjingaBUSARA.....
Na hebu tuhame BASI wazo MKUU nisije kupandisha mtu jazba bure !:-(
Na hebu EDDY MURPHY atusaidie kulainisha kwa vipengele kutoka kwenye sinema yake ya COMING to AMERICA kwa kuwa nasikia kuna baadhi ya wajanja vichekesho vya nguli MZEE JANGALA havipandi!:-(
... na kwahiyo,...
...basi BWANA hebu EDDY MURPHY aanze na bendi yake iitwayo SEXUAL CHOCOLATE akiwa kama RANDY Watson katika...
Tuendelee na COMING to America na..
Au tuangalie alichokuwa anatabiri EDDY MURPHY kama ni kweli katika..
Au tu tupate The Randy Watson Experience warudishe ustaarabu na kutuliza jazba za BAADHI ya watu watishwao na neno SHENZI kama tu watishikao TU na wale WATAFSIRIO kuna uwezekano JAMAA sio MHESHIMIWA kisa kacheua neno KUMAMAYE !,... kwa kitu - Hang On In There
....LABDA kuna sababu katika URAFIKI kuna watokeao kuwa/ kuitwa ma- BEST FRIENDS aka MARAFIKI BOMBA,...
..... na kunaoitwa ``MARAFIKI ´´ kijina tu!:-(
Na URAFIKI ni neno pana ,...
.....kiasi kwamba limejumuisha mambo mengi mpaka WATU HUSAHAU kuwa ,...
.... kuna aina nyingi za URAFIKI mpaka yawezekana ,...
...UADUI labda ni aina moja wapo tu ya URAFIKI,....
.... kama tungeachilia mbali TAFSIRI kama HIZI kikipengele kwa ung'eng'e :
``Friendship is a personal relationship shared between each friend for the welfare of other, in other words, it is the relationship of trust, faith and concern for each other feelings. It is a relationship of mutual caring and intimacy among one another. A friend is one who knows you as a person and regards you for what you are and not what he or she is looking in a good friend. Best friend is one who accepts the good as well bad qualities of his friend and also takes an initiative in correcting and mending them. Friendship is a distinctive kind of concern for your friend, it is a relationship of immense faith and love for each other. ´´kutokahapa
Yenye tafsiri kwa lugha fasaha :``UFRENDI ni uhusiano wa wadau ambao hata kama mambo sio BIYE bado wanapeana shavu kisela kwa lugha nyingine -ni uhusiano wa wadau ambao WAKO TAITI YANI ile KINOMA , kuaminiana freshi, kusikilizia maswala ya mdau AMBAYE mambo sio mswano kinaeleweka YANI . Ni uhusiano ambao mtu hananoma yani na mipangilio ya mtu mwingine katika kukamatia hata ambayo si kila MCHIZI anaona ni freshi .
Mtu ambaye anamchukulia MDAU freshi tu vilealivyo na sio kumzingua kwa kuwa anahisi mdau kuna mambo ajichanganyayo nayo sio BAB kubwa kiufrendi - yani ukienda mbele sendema MDAU yuko TAITI tu na wewe na UKIRUDI nyuma SENDEMA tu kama kawa ingawa kiadoadao anaweza pia kuwa anatonya kiadoado mtonyo kwa FRENDI kuwa kuna maswala ni NOMA yani kujipinda nayo KWA SANA kwa kuwa yaweza sababisha asali kuingia CHUMVI chumvini yani.´´
.....kwa kuwa labda neno RAFIKI ,...
... laweza kuwa ni miongoni ya maneno ya KISWAHILI ambayo hutumiwa hovyo kuliko yote hata katika kuashiria yasipofaa kutumika,...
....kwa kuwa kuna yafikiriwayo afanyaye ni RAFIKI wakati ni adhaniwaye ni ADUI ambaye ndiye bingwa wakumfanyia MTU .:-(
Swali:
Kwani huhisi kuwa LUGHA ya kiswahili inamapungufu sana ya maneno na pia WATUMIAJI wakiswahi huzinguka na maneno sana tu YA KISWAHILI ndio maana unaweza kukuta pahitajipo kutumika neno MWIZI kuna waridhikao kutumia tu neno FISADI?
Samahani! Ngojea basi tuanze tena UPYA kuangalia hiki kitu kiitwacho ``URAFIKI !´´
Mbinyo wa kwanza kimtazamo:
Kama una marafiki wawili ,....
.....labda WEYE una urafiki wa aina MBILI,....
..... na kama una marafiki sita ,...
.... weye unaurafiki wa aina SITA!:-(
Kama una MARAFIKI mademu hao ni marafiki zako tofauti kabisa na MARAFIKI zako wa KIUME.
Na labda ni tatizo kama MTU atajaribu kutaka neno URAFIKI,....
.....liwe na maana moja kwa kuwa hakuna MTU mwenye marafiki wawili SAWA.
Na rafiki wako wa KIKE hawezi kuwa sawa na rafiki wako wa KIUME,....
.... hasa tukizingatia kuwa inajulikana kuwa kwa kawaida HATA kwa sababu za KIBAOLOJIA,...
..... wanaume na wanawake ni tofauti ,...
... na JINSI wanaume waingiavyo kitu kichwakichwa KATIKA kufikiria kitu ni tofauti na jinsi ya WANAWAKE katika ndude hiyohiyo wakaavyo mkao wa kukidadavua.
Swali:
Unabisha?
Mbinyo wa pili kimtazamo:
Na kama wewe ni MZAZI,...
.... labda jaribu kuwa MZAZI na sio RAFIKI kwa watoto wako,....
.... kwa kuwa mwisho wa siku ni MZAZI ahitajikaye kwa watoto wake na sio RAFIKI.
Na kama wewe ni MZAZI ,...
... kamwe MTOTO wako sio rafiki yako hata kama ni neno URAFIKI ndio mnaita mahusiano yenu na ndio mmechagua KUAMINI.
Na ingawa kuna wadaio kuwa ni bomba WAZAZI kutafsiri ni URAFIKI MAHUSIANO YAO NA WANAO aka watoto wao,....
......tatizo hujitokeza kwa kuwa wengi hawatofautishi URAFIKI ni nini kitu kiwezacho fanya URAFIKI wadaio watoto na wautambuao watoto ni ule waufananishao na urafiki wao na watoto wenzao kitu kiwezacho kufanya ,...
.... MZAZI aitwaye kuwa ni rafiki na watoto wake kuwa ni yule ambaye,....
.... labda kuna kitu kama MZAZI anakiruka ili watoto wamfananishe na marafiki zao kitu ambacho madhara yake yapo tu.
Swali:
Unabisha?
Unauhakika na neno URAFIKI linamaanisha nini?
Ngojea tupate hoja kwa kutazama mahusiano ya MBWA na moja ya wamiliki MBWA ulaya katika mbenjuo wa hoja:
Katika tembea tembea zangu nchi za MAGHARIBI mara KEDEKEDE nimekutana na familia ambazo zinawafuga MBWA na kuwa na mahusiano na hao MBWA kama vile hao MBWA ni BINADAMU.
Na utakuta wengi wawachukuliao MBWA kama vile BINADAMU mwisho wa siku hujikuta wanatafuta mpaka MAKOCHA wa MBWA aka DOG BEHAVIOR SPECIALISTS kisa hao MBWA wanawashinda kitabia. Utakuta nyumbani kwa MTU lakini ni MBWA katawala na kama MBWA hataki mlale kitanda kimoja basi ndio itakuwa hivyo,...
....na kama MBWA hataki wageni basi wageni MWIKO hapo nyumbani na vikorokocho vingine kibao,...
...kisa tu MBWA mmnyama ambaye kazoea kuwa na KIONGOZI hata katika kundi la MBWA kachukua nafasi yake ya uongozi katika kundi na kuwa PACK LEADER aka kiongozi wa kundi la MBWA.:-(
Lakini kuna njia ya kuwa na urafiki na MBWA bila kugeuza mahusiano ya MTU na MBWA yawe sawasawa na ya MTU na MBWA.
Tukirudisha boli kwa watu ,...
Na labda MZAZI awe MZAZI kwa mtoto na urafiki wa MZAZI na MTOTO ubakie kuwa ule wa MZAZI kubakia MZAZI MLEZI na mtoto abakie kutafuta uzazi wa mzazi na sio kufikiria ni POA kwa kuwa MZAZI mambo zake yanafananafanana na ya marafiki zake.
Swali:
Na si nilishaongelea uwezekano wa HAKUNA mtu MWENYE MARAFIKI ambaye ana urafiki na watu wawili tofauti ambao uko sawa?
HITIMISHO kimbinyo:
Kama ilivyokuwa BINADAMU wote ni sawa lakini si sawasawa,...
.... tukumbuke kuwa kila RAFIKI ni tofauti ,...
.... na labda neno lenyewe ``URAFIKI´´ linamapungufu kwa kuwa labda mpaka UADUI ni aina tu ya URAFIKI hasa kama UADUI wako na mtu ndio unakusaidia katika YAKO ya kupiga hatua mbele hata kama ni kwa KUJIHAMI .:-(
LUGHAA!
NI WAZO TU HILI LA CHAPUCHAPUlibinyalo hapa na pale KIMBINYO chapchap tu MHESHIMIWA na usikonde kama kunaeneo halijabinya sana HASA KUTOKANA na LUGHA nitumiayo HAPA kuhangaika sana na nachofikiria!:-(
Ijumaa naWIKIENDI NJEMA MHESHIMIWA yani!
Hebu KRS 1 apige krosi gemu kwa -A FRIEND
KRS 1 aingizie kitu katika- You Must Learn
Au tu Jeru DA Damaja atulize tu boli kwa - Ya Playing Yourself
Yaliyopita hata jana tu KIRAHISI watu huyajaji kwa vipimo vya LEO,...
..... wakati labda VIPIMO VYA LEO havifai kupima ya ZAMANI kwa kuwa,...
.... labda CHAKUKUMBUKA TU hataubishe,.... ....kuna TOFAUTI kati ya ya JANA na ya LEO,...
..... na ushujaa wa jana na yaliyofanya MTU huyohuyo kuwa shujaa JANA,....
...vinaweza kuwa na UHUSIANO na yaliyokuwepo tu JANA,...
...kwa kuwa KIBANGA aliyempiga mkoloni HAPO ZAMANI au tu MTU HUYOHUYO wa JANA angekuwepo LEO,...
.... yawezekana kwa mazingira YA SASA au yaliyopo tu LEO ,...
...labda HUYO SHUJAA asingefanya LEO YALE YASIFIWAYO kama USHUJAA asifikao nao LEO ,...
... kwa kuwa LEO labda angetoka BONGE la baruti kwa kuwa leo kuna kitu tofauti ambacho chaweza kusababisha MTU yuleyule ALIYEFANYA KITU JANA ,...
...asifanye kitu LEO kama JANA kutokana na yaleyale yaliyojitokeza JANA.:-(
Swali:
SI unajua mengi yaongelewayo kuhusu nyakati ZILIPENDWA ni yakufikirika ZAIDI YA UHALISIA na ndio maana MAREHEMU kwa kawaida hukumbukwa alikuwa MTU MZURI na ya zamani yalikuwa DHAHABU kitu ambacho ukifanya utafiti waweza kustukia LABDA ni ALINACHA TU?
Na si unajua kuna WAKATI hata mtu mwenye aibu huingiwa ushujaa wa kunya HADHARANI au angalau PEMBENI YA BASI kutokana tu na MAZINGIRA ya WAKATI HUO TU ingawa hata umshikie kiboko SIKU NYINGINE majanini hanyi NG'O kwa kisingizio anaogopa siafu?
Na si si unajua kuna siku hata MBWA KOKO anakuwa SHUJAA kutokana na engo tu uliyombana na atakutoa baruti ingawa unamazoea ya kumkimbiza kila umuonapo kwa kujua ni MBWA KOKO huku ukimbwenga mawe ?
Ndio,...
... labda WAKATI na MAZINGIRA yanamchango wake katika ushujaa wa mtu,...
...... ndio maana kuna aogopaye MUNGU ambaye kuna siku tu na MAZINGIRA YAKIRUHUSU ambayo atajikuta KISHUJAA KATONGOZA mtu,...
.... na kwa bahati mbaya MAZINGIRA na WAKATI huo labda amtongozaye ambaye kwa kawaida NI BONGE LA MNYIMI kilokole naye akajikuta kaingia udhaifu kutokana na WAKATI na MAZINGIRA na akakubali ,.....
....... na wote hao WAASHERATI wa wakati mmoja halafu kwa kiduchu tu ya CHAPUCHAPU kufanya WAWASTUKIAO siku hiyo kubakia na sifa ya aina moja tu ya KUHUSU HAO kuwa,....
.... jamaa hao kwa uasherati WAMEFUDHU na kwa bahati mbaya hiyo kubakia ndio sifa yao ikumbukwayo na JAMII.:-(
Swali:
AU?
Ndio,... .... labda ni wakati tu na MAZINGIRA,....
... ndiyo yaliochangia NYERERE , Kibanga ampiga mkoloni, mpaka MANDELA kuonekana mashujaa,...
.... ingawa hatuwezi kuruka WAKATI huo na katika mazingira hayo ,....
...WALIKUWA WANAJUA NINI kuhusu wafanyalo VILICHANGIA ,.....
...... kwa kuwa ukifuatilia watu kama MALCOM X mengi aliyokuwa anafanya MWANZO ambayo YALIKUWA YAKITAMBULIKA KAMA USHUJAA baadaye aliyakana na kustukia ALIKOSEA ,...
..... au tu kama tu MANDELA wa sasa hivi ambaye ni wakuunganisha watu NA MTU WA DIPLOMASIA labda asingekuwa na USHUJAA ulioitwa UGAIDI wakati fulani kwa ajuayo LEO na kwa staili zake za kileo ambazo baada ya kujua kitu zimekaa mkao wa KIDIPLOMASIA ZAIDI ya ule wa KIGAIDI.:-(.
Swali:
AU?
SASAAAA,...
.... usishangae siku moja wewe tukikuita SHUJAA kwa utakalofanya kwa kuwa UTATUTETEA siku hiyo kwa kuwa MAZINGIRA, ujuacho na WAKATI vimejipanga mstari wa kukuwezesha kuruka BONGE la KICHWA ,....
.... hata kama siku hizi inajulikana kuwa kama KASHESHE LIKIZUKA weye kwa kutoka baruti FILBERT BAYI na mbwa koko wote utawaacha nyuma kwa spidi za mbio mpaka watu wanajikuta wanashangilia tu -WEWEEE!:-(
NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na usikonde!!:-(
Hebu Mango Groove na The Sarafina Kids waje Live kwa -SPECIAL STAR
Mango Groove waendelee tu na-ULALE KANJANI
Au tu MANGO GROOVE watulize tu boli kifuani kwa-Right Time To Feel Fine
...kitu tofauti kinaweza kuwa ndio sababu kuna MTU aliyekwenye ndoa,...
.... anavutiwa kuonja nje,...
... kwa kuwa kila akipigiapochabo anapandishwa ashki ya kujua KAMA kitu tofauti ,...
.....NI KWELI NI TOFAUTI mpaka LADHA au TAMUTAMU KUNOGA ni ileile tu ya kuwa kwa kuwa ni BATA basi kwa vyovyote hata kama ni BATA MWINGINE na HUYU NI MWEUPE basi ladha yake itabakia kuwa ya BATA TU ingawa bata huyu ni MWEUSI na mwenye matege kwa mbaali na MACHO ya kulegea.:-(
Swali:
Ushawahi kujiuliza ni kwanini KITU HICHO HICHO kimoja TOFAUTI kuna mwingine kinaweza kumtisha kwa kuwa ni TOFAUTI na mwingine kikamvutia kutaka kuonja kwakuwa ni TOFAUTI?
Ndio,...
.... labda uliyokutananayo MAISHANI na YALE ujuayo TU yanakujengea misingi ya KUTISHWA , kuwa nyutro au tu KUVUTIWA angalau kuonja au kuonjwa bila woga kisa ni KITU tofauti .:-(
Ndio,...
.... KITU tofauti na ULICHOZOEA pamoja na UTAMU WAKE kuna mtu anatishika nacho,...
... na labda ndio MAANA kuna WATANZANIA hataufanyeje watakuambia ni HERI JINI LIKUJUALO halikuli kidude mpaka KIGUNZI KIKAISHA kuliko JINI LISILO KUJUA ,...
... yote ikiwa ni kujaribu tu kuishi na WALIYOZOEA kwa kuwa YALE TOFAUTI yanatisha.:-(
Swali:
AU?
Ndio,..
... kwa kuogopa kitu TOFAUTI,....
.... kuna mpaka WAKRISTO ambao hawawezi kusikiliza ya WAISLAMU ,...
...... WAMASAI wala nyama ambao hawaonji ng'o SAMAKI kwa kuwa ni tofauti, wa BONGO FLEVA ambao kamwe wanaogopa kufuata MDUNDIKO,...
... na kwa ujumla kuna WARIDHIKAO TU na YALEYALE kisa wameyazoea VILEVILE ,...
... na hapa wala babu wee mie siongelei KUWA WAMEZOEA staili zenu za chuma mboga na za KIMISHENARI ndio maana wameridhika nazo na kilichobakia inabidi watafute tamu kivingine KWINGINE kabisa.:-(
Ni wazo tu hili MKUBWA na wala usipandishe jazba basi MHESHIMIWA !:-(
Hebu Earth, Wind & Fire wabadili kwa kuzibua sindimbakwa kibuyu -Devotion
Au tu Earth, Wind &Fire watulize tu boli pia kwa -Lets groove
.... kwa wengi ni ile yenye kitu WANATAKA kusikia.:-(
Swali:
Lakini kwani HABARI nzuri ni kweli ni ile tu NZURI masikioni mwa asikiaye?
Ndio,...
....labda HABARI nzuri kwa mtu bado inamdudu hasa kwa kuwa ni HABARI TU na labda kuna kitu BADO hakijastukiwa mpaka uchokonoe KITU HALISI na sio habari tu ndio ustukie.:-(
Swali:
SI unajua ahadi ya UTAMU mtu aipatayo kwa kuona tu mwili wa bonge la TOTO bado labda totoz pamoja na UKIBONGE WAKE bado lina MDUDU halafu kilawalawa nyama labda bado ni CHUNGU?
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Au tu tubadili ndude na twende shule kwa kumsikiliza tena Ngozi Okonjo-Iweala akimwaga tena manyanga katika -How to help Africa? Do business there .
.... ukikulia KIJIJINI kuna vitu tu utakuwa unajua zaidi ya waliokulia MJINI,....
.... kwa kuwa WATOTO wa mjini mazingira yao yanakawaida ya kubobea katika vitu vingine!:-(
Swali:
SI unajua watoto waliokulia mazingira yenye wasomi yasemekana kuna mambo huyajua hata bila kwenda kusomea kwenye ziitwazo SHULE?
Ndio,...
.... mazingira ni shule na MTU akikulia mazingira yaliyojaa MALAYA anaweza kujikuta anajua umalaya hata kama hatauita ni umalaya HASA kwa kuwa kwa huyo mtu itakuwa tu ni MAISHA YA KAWAIDA na ni siku tu nyingine imepita.:-(
Swali:
Unabisha?
Ndio,...
..... labda WATOTO wa mjini kutokana na mazingira yao kuna MAMBO shule yao ndogo,...
.... ukilinganisha na TOTOZ za kijijini!:-(
NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!:-(
Hebu Asylum wabadili kwa-World's a ghetto
Au tu hebu DONNA SUMMER aturudishe miaka ya sabini tena kwa-I feel love
Tahadhari: [Taralila hii labda NI UJINGA mtupu kwa hiyo shauri zako ukiisoma HII NDUDE MHESHIMIWA!:-(]
KUNA tafsiri NYINGI nini ni ``UHESHIMIWA´´´,...
.... kama ilivyo kuwa kuna watu wengi ambao wana MENGI ambayo LABDA kwa baadhi YETU hatujui tu ambayo labda KUNA UKWELI ndio tiba ila hatutajua TU LABDA kwa kuwa haya kwao hayana uhusiano na walichojifunza NAKUAMINI TU HATA KAMA SIO KWELI kuwa kuna uwezekano TU na sio ni KWELI TUPU kuwa huo ndio ukweli KUWA huo ndio labda ni UHESHIMIWA!:-(
NA labda UKIULIZA MTU labda kuna tafsiri nyingi za nini ni ugonjwa au hata kuugua KWA wajisikiao kukuuguza hata kama hujinyei BADO na kuhitaji kubadilishwa CHUPI MARA KWA MARA wakati huo au tu hata ukijinyea bado kuna kitu wanaweza kujitetea kwa wawaheshimuo kuwa bado weye ni MHESHIMIWA,...
....ingawa kuna TAFSIRI NYINGI za ni NINI ni UGONJWA ndio maana UKICHAA na maumivu ya TUMBO TU vyote huweza kuitwa ni UGONJWA,...
.... hata wakati BADO inaweza kuwa sio UGONJWA inaweza kuwa ndio tafsiri ya mjanja ambaye kwa kutofikiria anafikia hata kuhitimisha MSICHANA ALIYE KWENYE HEDHI na kwa bahati mbaya alikosea KIHESHIMA kukiweka vizuri MBELE YA KUMA kinyonya damu na damu ikapitilizia mpaka kwenye chupi basi KWA TAFSIRI HIYO,...
..... bado inaweza kuwa sio UGONJWA,...
...hasa kwa kuwa UKICHAA na maumivu ya TUMBO vyote huweza kuitwa ni UGONJWA;...
...hasa ukizingatia ,...
...LABDA KUNA atafsiriye hilo au mambo kama hayo ni DALILI TU ya ugonjwa,...
... na KWA KAWAIDA KWAKO ugonjwa ni kitu KINGINE!:-(
Swali:
``UHESHIMIWA´´ kama tu ``UKICHAA´´ hudhani katika engo fulani ingawa vyote sio kama ``UTAHAIRA´´ labda vyote ni aina tu ya UGONJWA angalau KISAIKOLOJIA kwa kuwa tafsiri ya magonjwa ndio ile ile kwa wajanja KIPINDUPINDU katika kuharisha na MALARIA vyote pamoja na utofauti wake kwa WENGI WENYE AKILI watadai ZOTE ni aina tu za MAGONJWA?
Ndio,...
....``UHESHIMIWA´´,...
.....moja ya madhara yake ambayo labda ni MOJA YA SABABU HALISTUKIWI KAMA labda ni aina tu ya ugonjwa angalau KISAIKOLOJIA,...
.... labda NI kwa kuwa kuna mambo wauguao waheshimiwa yasiyoeleweka ,...
.... ila ``UHESHIMIWA´´ na kiheshima moja ya walichojifunza WASHUHUDIAO na WAUGUAO ni kuwa KIHESHIMA labda sio HESHIMA kukaa uchi , kujamba hadharani, KUBANJA; ,...
... au tu kama SIMON KITURURU kuandika mpaka yale waliofunzwa kitu waaminicho ni MATUSI hasa KAMA HAPA KWENYE BLOGU hadharani,...
..... ingawa LABDA tukumbuke tu katika vitendo hivyo vya vifikiriwavyo na kushuhudiwa MHESHIMIWA ni yule ambaye havifanyi hadharani ,...
... labda hata katika HILO labda kifanyikacho kikweli kuna ambaye tu kwa kutaka ajulikane kama ni MHESHIMIWA hata kwa hilo anajikana tu HADHARANI.:-(
Ndio,..... ... katika ``UHESHIMIWA´´,...
moja ya MADHARA YAJULIKANAYO,....
.... ni kufanya WATU kukatwa KAULI kwa akili kufanywa KUKAA kimtindio wa kwa KUTOA kauli fulani KUWA hiyo sio HESHIMA,...
..... au tu kufanya mpaka URAIS au tu UKUU WA NYUMBA KUMIKUMI ndio moja ya kitu kwa mtu ndio cha KUHESHIMIWA kama tu ukuu hata wa kufanya matusi kitandani ufanyavyo kwa afikiriaye kwa kuwa ni mzuri katika uasherati kitandani kuna kitu ANAHESHIMIKA hata kwa siri ambaye HATUMJUI ,...
... na kujikuta mpaka anaishi UONGO kwa kuwa kwa kuaminisha watu vile afikiriavyo ndivyo vyenye HESHIMA na kuleta``UHESHIMIWA ´´ hasa katika jamii HII TUIJUAYO vinafikia kufanya,...
... mtu kama hajui asikiri HAJUI , mtu kama anajisikia kujamba HADHARANI asijambe hadharani , MTU KAMA HAPENDI KUWA RAIS WA TANZANINA aendelee kushangilia CCM au CHADEMA kwa kufikiri vitampa ``UHESHIMIWA´´ kama BIBI TITI au tu Mheshimiwa RASHID KAWAWA ambaye kivitendo namuheshimu zaidi ya RAIS NYERERE ajulikanaye kwa kuongea,...
...ingawa kwa jinsi ``UHESHIMIWA ilivyo labda ni ugonjwa´´,...
....bado inaaminika KIHESHIMA kuna MTU kutogawa KIDUDE,....
.... hata wakati anahamu ya KUGAWA KIDUDE ili pia naye apewe kidude ambacho kiashki ya KIKRISTO na kiuzani ni BIBLIA,...
..... ``UHESHIMIWA´´´waweza kufanya mpenda MBOGA za MAJANI muislamu akashuhudiwa akila iliashuhudiwe tu kiheshima anakula NYAMA YA NGURUWE.:-(
Swali:
Unabisha?
Ndio,...
... kutaka ``UHESHIMIWA´´ labda KINAMNA ni aina tu ya UGONJWA,...
... ambao KISAIKOLOJIA labda ahitajie KUHESHIMIWA ni MGONJWA tu!:-(
Ndio,...
....na kutotaka kuheshimiwa kwa asiyejihisi ni MHESHIMIWA labda ni TATIZO na haki ya nani wala ni ugonjwa,...
... kwa kuwa labda mengi yasiyo UKOMA au tu uke utoao usaha KAMA TU mboo isiyodinda,...
....LABDA yale ya watafsirio mambo kwa kutumia akili tu na kufikia MPAKA hitimisho la RAIS NYERERE na familia yake na sio RAIS MWINYI na familia yake ndio wenye akili nyingi katika familia za viongozi waliowahi kutawala TANZANIA na ambao wanaendelea kutawala TANZANIA ,...
...
....labda naweza kushindwa kubisha kwa kuwa KITAALUMA na KISHERIA ni mpaka uwe na cheti cha DAKTARI ndio kisheria Simon KITURURU ni kichaa au tu alizaliwa katika HOSPITALI ya BAPTISTI MBEYA ndio kisheria HATA hii isiwe ni taralali tu.:-(
NALIKATIZA WAZO HILI hapa MKUU ,....
....na kumbuka hili ni wazo tu MHESHIMIWA na nakubaliana na wewe labda hukuhitaji kunisoma mpaka hapa kwa kuwa katika hata UjingaBUSARA,...
.....labda huu ni UJINGA MTUPU MKUU!:-(
Samahani HEBU ngojea 2 PAC abadili mshawashwa kwandude -DEAR MAMA
2PAC arudie tena ghafla ndude-CHANGES
DUH! -... ngojea tu MUTABARUKA aingilie kati shughuli tena kiaina fulani ya kininja kwa...
MUTABARUKA aingilie tena kwa UNDANI WA KITU CHENYE NDANI YAKE hasa hata kwa wajanja HASA ndani ya IMANI kuna waaminio vingine hata kama hivi ki-Spirituality
Au tu MUTABARUKA ajaribu tena kitu katika kutetea BAADHI YA watu ambao sio miye ingawa kunawanifananaishao nao katika ndude -Dispel the lie
..... kuliko kutafuta YANAYO WAUNGANISHA YAFANANAYO KITU kitu kifanyacho TUSIOJUA WANAFIKIRIA NINI,...
.... ni rahisi kudhania wao ni tofauti na MATATIZO yao ni tofauti.:-(
Swali:
AU?
HUDHANI ni mambo ya KUDHANIA tu labda ndio siri KUBWA ya heshima yako KWA USIYEMJUA VIZURI unajuaye tu kitu kimoja UKIHESHIMUCHO udhaniaye ANAHESHIMIKA?
DUNIANI labda mambo mengi ni YA KUDHANIA TU,...
...... kwa kuwa mwisho wa siku yeyote MWENYE CHOO labda hata kama huwa haonekani akienda CHOONI,...
.... mheshimiwa huyo KAMA angalau nyumbani kwake ana CHOO,...
.... kuna wakati hutumia muda kunya HUYO na labda kivile tu ambavyo hadharani ingetafsiriwa na wengine sio KUJISAIDIA HAJA KUBWA kiheshima.:-(
Swali:
AU?
NDIO ,...
... hadharani na CHOBISI labda kwa watu hata ukibisha kuna vifananavyo,..
... kwa kuwa labda bado katika vyote hivyo kuna BINADAMU alaye na wajua alaye huwa anamchezo wa KUNYA pia.:-(
NI WAZO TU HILI Mkuu!!:-(
Na hebu tuendelee na Bobbi Humphrey katika- Please Set Me At Ease
Bobbi Humphrey ashambuliae kutoka kona ya kulia kwa - Blacks And Blues
...... uone kama hakuna atakayeelewa au angalau KUFIKIRIA kwa kuguna kwako,.....
..... labda unasikilizia UTAMU!:-(
KUGUNA ,... ..... ni ushahidi hata ule usio NGUNA,...
.... na labda kuna MTU kwaweza kuokoa mpaka MAISHA YAKE kwa kuhakikishia watu kuwa ingawa hajambi huyo MTU bado yuko HAI na hata kama hajambi anapumua na katika kuishi wakati huo hasikii UTAMU.:-(
... hana mahusiano na UPENDO watu MWANANA WAZUNGUMZIAO MAPENZI wauhusianishao na MAPENZI!:-(
NA ukikuna kichwa hasa kama WEWE NI DUME na ukunacho sio kile KICHWA cha kule CHINI,..
....hasa weye MHESHIMIWA ujiandaaye kuita mtu MPENZI,...
.....unaweza kustukia kuwa katika MAPENZI,...
..... labda ni ajifunzacho tu KITU PENZI awashwaye na kutafuta ni nini TAFSIRI na ni nini kuwashwa na kufikia hitimisho anawashwa hata MDADI kama waitanao MPENZI awezavyo kustukia kumbe labda mapenzi si NGONO, kupenda, kutombana, KUGOMBANA kwa kuwa unajali, kumkatalia aliyenenepa sana kwa kuwa unafikiria ni ujanja kwa kuwa huli sana na kisiri unafikiria huyo KUWA MJANJA WAKULA SANA chakula, kumkatalia aliyelewa POMBE , kumpa mlevi pombe, au tu hata kumkubalia na kumsikiliza aaminiye kuna MUNGU wakati anaongelea MUNGU kama tu kwa demu alioneaye titi lake aibu kukubali anyonywe na DUME ZIMA chuchu.:-(
DUH!
Kablasijaenda NAYO mbali taralila hii ki - MADINGIRI DI haya kipare,...
....ki MADUNGURU DU KIPARE mpaka mjanja kuchanganyikiwa navyochakachua,...
SWALI:
VIPIIIII?- kwani hujui kuna wajiulizao; ``MPENZI hivi penzi lako limetuna MPENZI´´ ?
Na si unajua hakuna fomwula ya kugundua MAPENZI ni nini ndio maana kuna waaminio KUMBWENGA DEMU WAKO ni aina ya kumuonyesha KIVITENDO sentensi yako ``NAKUPENDA WEE Mtoto mzuri wa KIKURYA wee na chuchu yako juu ya TITI murua sanaMPENZI mama wa watoto wangu !´´ ?
NA ndio ,...
...kuna WASAHAUO kuwa neno MPENZI na MAPENZI,...
...labda sio hivyo kimfanano ndio maana MPENZI anaweza kuwa MUNGU au MAMA na sio tu yule akupaye KIDUDE MTU tu kwa kuwa YEYE cheupe dawa na unapenda vimwana WEUPE ki-CHEUPE DAWA wenye titi jeupe PE ila chuchu nyeusi TI ,...
...au tu wale VIJEBA WEUPE kwa kuwa weusi KWAKO wanafanana na BABA YAKO na sio karibu kama yule MZUNGU ALIYEKAA KIKUCHUNWA BUZI KIKWAKO ,...
...au wale wakuwekao mkao wa huruma wa kuwagawia kirahisi kwa huruma KIDUDE.:-(
SWALI
AU?
Ndio,..
...labda KISWAHILI ni KIGUMU hata katika MAPENZI Mkuu,...
... ndio maana hata kutongoza MSWAHILI kwa KISWAHILI ni sanaa,...
... na labda kuna udhaniaye ni mwenye kigugumizi ndio apatiaye kupapasa UDHAIFU wa atongozwaye na hata asipopewa nafasi ya kukubali labda kisiri anaweza kuwa kashachafua chupi,...
...kama tu labda ilivyo TUDHANIAYE kwa KISWAHILI anasali vizuri KULIKO SIYE KWA SAUTI labda hiyo sio staili apendayo MUNGU kimnyenyekeo.:-(
NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA MHESHIMIWA!:-(
Hebu SADE aingilie KATI nakurudisha ustaarabu katika kubadili wazo hapa kijiweni kwa - Is It A Crime
Sade aendelee na - Keep Looking
SADE anyuke tena -Smooth Operator
Au tu Vanessa Paradis adinye tu naye tena tamutamu-Joe le taxi
Shenzi !-...., HEBU TURUDI TU afrika KULE angola TENA KUPATA TENA KIDUDE kilichotuna-MARIKA