Kwa kuwa MUDA TULIONAO UNAPITA,....
>> Saturday, October 01, 2011
..... mengi YA LEO yatakujakuwa tu ni NUKTA  katika stori  NZIMA ya ulimwengu,...
....NDIO MAANA labda hata MKE wa MKWAWA hakumbukwi jina.:-(Ndio,...
... ni MIAKA MAELFU imepita na katika hiyo ni MAELFU yamepita,...
...... na ukizingatia  kuna wengi   zaidi ya BABU na BIBI  ZAO hawajui ndugu zao waliopita ni akina nani na walifanya nini  hata katika kuchangia  ugunduzi wa MSHALE au  jiko la  MAFIGA ,...
....ndio ni MIAKA MAELFU yamepita katika uwepo wa BINADAMU hapa DUNIANI hata kama uwakumbukao ni WATU WAWILI na MAMBO SITA tu.:-(
Swali:
SI unajua labda ni KWELI binadamu ni fulu KUSAHAU kirahisi tu?
....ndio ni MIAKA MAELFU yamepita katika uwepo wa BINADAMU hapa DUNIANI hata kama uwakumbukao ni WATU WAWILI na MAMBO SITA tu.:-(
Swali:
SI unajua labda ni KWELI binadamu ni fulu KUSAHAU kirahisi tu?
Ndio,...
....MENGI  hata udhaniayo  ni MUHIMU SANA KWAKO labda yako kimkao wa MPITO,...
... na katika MPITO HUO  kwa wengi hata wakati huohuo unadhania hayo ni MUHIMU ,...
...wengine wanayaona hayo HAYANAMPANGO kama tu  mpenda KITIMOTO  athaminivyo MCHICHA  wakati  kwake kilipacho ni nyama ya nguruwe!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu turudi BRAZIL ili Milton Nascimento aanzishe kwa-Francisco
Hapahapa Brazil Gilberto Gil na Milton Nascimento waongezee dozi kwa-Andar com Fé 
Kabla hatujaondoka Brazil Seu Jorge amwage- Te Queria
Seu Jorge  aongezee dozi kwa - Mania de Peitão 
Au tu Seu Jorge azime tena  madungurudu kwa-Carolina
 
  
 Posts
Posts
 
 




1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kila mmoja na lake Duniani hapa; lakini kigezo chake tajiri awe wamali awe wa mawazo au siasa ni ule uwezo wakupata sehemu kadhaa katika maisha yake maskini... andika katika vitabu vyake tajiri, juu ya bodi na matangazo yote ya biashara yake: "UMASKINI WAKE BIBI FULANI ALIEKOMBOLEWA NA BIDHAA ZAKE TAJIRI FULANI"
Kwa hiyo hamna malaya mwenye bei ghali kuliko historia ya binadamu, Mkuu.
Post a Comment