Kwa kuwa MUDA TULIONAO UNAPITA,....
>> Saturday, October 01, 2011
..... mengi YA LEO yatakujakuwa tu ni NUKTA katika stori NZIMA ya ulimwengu,...
....NDIO MAANA labda hata MKE wa MKWAWA hakumbukwi jina.:-(Ndio,...
... ni MIAKA MAELFU imepita na katika hiyo ni MAELFU yamepita,...
...... na ukizingatia kuna wengi zaidi ya BABU na BIBI ZAO hawajui ndugu zao waliopita ni akina nani na walifanya nini hata katika kuchangia ugunduzi wa MSHALE au jiko la MAFIGA ,...
....ndio ni MIAKA MAELFU yamepita katika uwepo wa BINADAMU hapa DUNIANI hata kama uwakumbukao ni WATU WAWILI na MAMBO SITA tu.:-(
Swali:
SI unajua labda ni KWELI binadamu ni fulu KUSAHAU kirahisi tu?
....ndio ni MIAKA MAELFU yamepita katika uwepo wa BINADAMU hapa DUNIANI hata kama uwakumbukao ni WATU WAWILI na MAMBO SITA tu.:-(
Swali:
SI unajua labda ni KWELI binadamu ni fulu KUSAHAU kirahisi tu?
Ndio,...
....MENGI hata udhaniayo ni MUHIMU SANA KWAKO labda yako kimkao wa MPITO,...
... na katika MPITO HUO kwa wengi hata wakati huohuo unadhania hayo ni MUHIMU ,...
...wengine wanayaona hayo HAYANAMPANGO kama tu mpenda KITIMOTO athaminivyo MCHICHA wakati kwake kilipacho ni nyama ya nguruwe!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu turudi BRAZIL ili Milton Nascimento aanzishe kwa-Francisco
Hapahapa Brazil Gilberto Gil na Milton Nascimento waongezee dozi kwa-Andar com Fé
Kabla hatujaondoka Brazil Seu Jorge amwage- Te Queria
Seu Jorge aongezee dozi kwa - Mania de Peitão
Au tu Seu Jorge azime tena madungurudu kwa-Carolina
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kila mmoja na lake Duniani hapa; lakini kigezo chake tajiri awe wamali awe wa mawazo au siasa ni ule uwezo wakupata sehemu kadhaa katika maisha yake maskini... andika katika vitabu vyake tajiri, juu ya bodi na matangazo yote ya biashara yake: "UMASKINI WAKE BIBI FULANI ALIEKOMBOLEWA NA BIDHAA ZAKE TAJIRI FULANI"
Kwa hiyo hamna malaya mwenye bei ghali kuliko historia ya binadamu, Mkuu.
Post a Comment