Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUTESTI ZALI kwa ALAMBAYE nanihii!

>> Sunday, October 02, 2011

Katika kutesti DHARI,...
... kuna MPAKA waingizao mguu kwenye maji ya MOTO,...
.... ili kucheki tu kama ni kweli YANAUNGUZA au LA,...
.....kama tu kwenye simulizi!:-(



Swali:
  • Si yaaminika  ALIYEOGA labda  bado ni MCHAFU na ndio maana kwa wasafi hawatakuwa kimbelembele kumlamba kila eneo hata KIKUTESTI dhari?
  • Ushawahi KUTESTI zali?
Na katika kutesti DHARI,...
... labda kuna MPAKA ambao hupata ushahidi BASHA ni MSENGE,...
.....hata kama kwenye KITU jamaa alikuwa anatesti tu ZALI  kuwa BATA ni mtamu  au analadha tu kama ya MCHICHA.:-(


Ni  wazo tu hili MHESHIMIWA hata kama lina KIBIONGO!:-(

Duh!:-(

Hebu Gregory Isaacs aamshe MTU kwa-GOOD MORNING





D'Angelo aanzishe kupindisha vita upya kwa - Everybody Loves The Sunshine



D'angelo atoe SIRI kuwa kuna watiao ambao wana- Feel Like Makin' Love



D'Angelo na Lauryn Hill waongezee -Nothing Even Matters



Au tu sijui kwanini  Gregory Isaacs arudishe  tu kitu halafu azime tena  kwa-GOOD MORNING


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 1:43 am  

Labda ni imani tu kwa mtu hadi mtu, ukubwa wake yaani. Pacha mmoja katika maandishi fulani alikataa kuamini macho yake mtu marehemu aweza kufufuka; bali aliridhishwa tu hapo alipoingiza kidole katika majelaha ya marehemu aliyefufuka! Wengine hadi leo hata kumuona aliyefufuka hawakumuona lakini imani yao ni ile ile ya pacha huyo baada ya kutia kidole.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP