Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Binadamu ni MCHAGUZI WA MAMBO mpaka ya NI AKINA NANI akifumba macho ATAVUMILIA kushuhudia KUWAONA wakifanya tendo la NDOA!:-(

>> Wednesday, November 25, 2009

Binadamu ni WACHAGUZI wa mpaka wavumiliayo,....
... na ndio maana hasa kama UKIJIPENDEKEZA MWENYEWE utajikuta unavumilia zaidi KULIKO KAWAIDA hata kuonwa KICHEKESHO na WALE unaojipendekeza KWAO.:-(

Binadamu ni MCHAGUZI wa avumiliayo,...
....na hata akifumba macho WAKATI NIA ni KUWAPIGIA CHABO wafanyao tendo la ndoa - ANAWEZA KUTAPISHWA na wazo tu kuwa UASHERATI UENDELEAO kwa alowastukia MIDUME MIWILI katika SHUGHULI WAFANYAYO ambayo kwa kawaida huhitaji mwanamke -DUME moja katika kufanikisha limeamua kuwa ni JIKE katika tendo LAO.:-(

Na KATIKA UCHAGUZI ni nini CHA kufikiria yote yavumiliwayo,...
....USISAHAU kuwa karibu kila MTU ni kawaida KUJARIBU kujisahaulisha kuwa ANAJUA WAZAZI WAKE wali/WANAFANYA tendo la ndoa a.k.a MCHEZO wa BABA na MAMA, ambacho ndio siri ya KUZALIWA KWA watoto WAO.:-(

Swali:

  • Si unakumbuka ukifumba macho KAMA UNATAFAKURI NZURI YA PICHA a.k.a IMAJINESHENI unaweza kumuona mtu yoyote yule uchi?
  • Kwani umesahau kuwa kuna uwezekano ni uchaguzi kuivumilia kitu chochote mpaka hata CCM Tanzania?
  • Unauhakika huwa huchagui ni MHESHIMIWA GANI ukifumba macho ndiye hutaki kushuhudia kuwa ndio siri ya kuenea kwa gono MTAANI KWENU kwa kuwa tu unamheshimu na hutaki kustukia jinsi anavyojishebedua akipekecha utafikiri afanyacho CHA UZINZI MTAANI KISIRI ni kitamu kama peremende vile?


NI WAZO TU HILI MKUU na NIMEACHA!


Ngojea Henri Dikongue alete-Ndol'a Su



Au tu STEEL PULSE wakumbushie kuwa BIBLIA yao ni -Not King James Version

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP