Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mazoezi ya KUNYA ni CHOO chochote ATI! - [Sentensi hii wakati inakoholewa ILIBANIWA PUA na mtoto wa PWANI]

>> Sunday, November 22, 2009

Kwa kifupi:

MAISHA ni NISHAI na kila ufanyalo labda ni zoezi tu kwa kuwa LABDA wajuao hilo vizuri,....


.....WAMEKUFA!
:-(


Na labda nachojaribu kusema ni;.....

... katika mazoezi ya kula KAMA UNA NJAA huhitaji KIJIKO kizuri kwa kuwa tu kuna vijiko wakati NIA NA MADHUMUNI katika UGALI ni kukata TONGE.:-(





Ngojea nijaribu kulainisha KACHORI kimaana na KATIKA SWALA ZIMA LA kumaanisha;.....

LABDA na MAANA kuwa ukiiishi unaweza mpaka kustukia Marashi ya TANGA au ya mpaka ZANZIBAR ya KARAFUU kama wewe ni MTANZANIA ingawa labda ,...


....KWAKO yote hayo kwa umuhimu NI kama umuhimu wa miguu kuwa na FUNZA!:-(



Swali:
  • Si unakumbuka sio lazima unielewe?
  • Kwani hujawahi kufanya matusi na kustukia eti utamu wote huo wa usiloliita tusi eti PADRE UMSIKILIZAYE kama tu SHEKHE , - anapunguza TAMU YA onjo KWA kuuita uroda ETI ni UASHERATI halafu dhambi?

NI WAZO tu hili MKUU na usikonde!
JUMAPILI NJEMA MHESHIMIWA!




AU hebu Lenny Henry akumbushie kuwa kuna muda mzuri wa kujamba MAISHANI pia katika ndude -Bad Time to Fart


Au tu Sekou ''Bembeya'' Diabaté abadili kwa kitu-Bitouman











NIPO....

Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket


Photobucket



Photobucket





Photobucket





Photobucket





Photobucket




Photobucket



Photobucket

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:45 am  

Jumapili njema nawe pia Mt. Simon!!

nyahbingi worrior. 10:10 am  

nuff nuff respect man.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP