Wakati unastukia MAPISHI YA TANZANIA kwa kawaida hayako kwenye maandishi kwa kuwa VIPIMO KAKARIRI MPISHI.
>> Saturday, November 14, 2009
Kunauwezekano kabisaaaa,...
....mahusiano ya WATANZANIA na KUKARIRI,....
..... kwa yalivyokuwa na mahusiano mazuri/MWANANA,  yanaweza kuyashinda  KWA UFANISI hata mahusiano ya  KINYEO na MAVI!:-(Na ndani ya TANZANIA ukikutana na BINGWA wa kufaulu aliyefaulu bila KUKARIRI,....
..... basi msifie MWALIMU WAKE kwa kuwa haki ya nani tena ndiye  ALIYEANZISHA KUELEWA  bila KUKARIRI kwa huyo mwanafunzi ingawa bado WALE MAPROFESA waliofaulu  KWA KUKARIRI wanaweza wasimuelewe ajuaye  jibu bila kukariri KWAKUWA HATUMII LUGHA WALIYOKARIRI  na   hawaelewi kuwa hata katika harufu ya MAVI kinukacho si MAVI  KAMA WALIVYOKARIRISHWA  na ndio maana harufu YA MAVI  hiyo yatengenezeka kwa hata majani yaitwayo KIMAVIMAVI.
Swali:- Kama unajua kupika UGALI unauhakika hujakariri tu hatua za mapishi na hujui ugali huwa unaivaje pamoja na kuwa unastukia dona lililoiva kwa kuwa umelikariri?
- Kwani unatakakusema hujastukia mwalimu wako atumiaye kitabu chenye majibu ambaye kama hujakariri vizuri mpaka lugha ya kwenye kitabu anafikiria umekosea kwa kuwa KITABUNI jibu ni kinyeo na ukajibu kuwa JAWABU ni kijambio?
Hebu tubadili kwa kuangalia mtoto akiigilizia..
AU tu tubaki Helsinki, FINLAND, - Nuspirit Helsinki walete-kitu-Honest
 
  
 Posts
Posts
 
 




1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kukariri:-(
Post a Comment