Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda SIRI YA KWA UHAKIKA KUDOKOA ni hisia za uhakika UKIONACHO ni kitamu!

>> Saturday, November 28, 2009

Kumbuka kuna WADOKOAJI na WAONJAJI.

Kumbuka ukitaka kuonja wakati unaweza kukata tonge SWALA ,... .... inamaana unawasiwasi na UTAMU wa swala.:-(
Kwa hiyo,...
... kati ya MDOKOZI na MUONJAJI kwa kawaida mwenye uhakika na afanyalo ni MDOKOZI!.:-(


NIWAZO TU HILI na NALIKATIZIA HAPA.:-(


Hebu KASSAV wabadili kwa kuleta kitu -WEP



Au tu Kassav walete pia kitu-DOMEYIS

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP