LILITH! -Changamoto ya Kiyesuyesu
>> Wednesday, November 11, 2009
Katika stori ya Adam na Hawa.......
Swali banangenge:
- Je Hawa alikuwa mke wa pili wa Adam?
- Unaichukuliaje stori ya Lilith?
- Ushawahi kumsikia LILITH katika ihisiwavyo ndiye aliyemuonja Adam kwanza Kibaba na Mama?
Tahadhari hili ni changamoto kwa wafuatiliao stori za BIBLIA kwa hiyo usizinguke kama haikukuni kunako!:-(
Hebu tumpate M-Ivory Coast Dobet Gnahoré abadili kama alivyobadili nilivyomdaka wakati yuko kazini kwa picha hizi.....


....atupe....
Au tu Salif Keita kutoka Mali ambaye ni huyu hapa kama nilivyodakwa naye majuzi ya jana siku moja
.......Atusaidie kibao kile maarufu AMBACHO SIO CHA KISWAHILI kiitwacho-Kuma
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment