Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kumbuka kila AKOJOAYE kuna kitu ANAKIKOJOLEA!:-(

>> Saturday, November 28, 2009

Kwa BAHATI MBAYA ,...
...BINADAMU hawaelei HEWANI ingawa labda vieleavyo hewani bado navyo VIKIKOJOA kuna akumbwaye na MIKOJO.:(





Swali:
  • Unakumbuka wakati UNAJIHARIBIA YA BINAFSI kuna AMBAO ambayo unawaharibia yao BINAFSI?

NI WAZO TU MKUU HILI!

NA nakutakia UBARIKIWE kubanwa haja kubwa ili ujisikie mjanja kuliko walioshinda na NJAA!





Swali:
  • Si unajua katalisti kubwa ya kubanwa haja kubwa ni kula tena?


NIMEACHA!



Au ngojea Tabou Combo na Kassav warudie- Pi Gro Pi Long

Na tu Jocelyne Béroard atulize kwa kitu -VINI SéRé



Au tu Jocelyne Béroard amalizie na kitu -SIWO

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

John Mwaipopo 4:27 pm  

as always, your posts make me think unlimitedly to the extent of failing to comment. at least today i have commented.

ngoja nikale kitimoto nione kama nitapata haja.

Simon Kitururu 11:18 am  

@John Mwaipopo: :-)

EDWIN NDAKI (EDO) 12:54 pm  

HAAA.sijui niseme? au nisiseme? Duh! siku njema

Simon Kitururu 12:39 pm  

@Edo Ndaki: :-)Siku njema nawe pia!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP