Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri wenye BUSARA na AKILI ni wa kwanza KULALAMIKIA UJINGA?

>> Tuesday, November 17, 2009

BUSARA na MATUMIZI YA AKILI kwa MSTAARABU,...
.... yanategemea sana uwezo wake wa kustukia UJINGA halafu kupalilia mahusiano mazuri ,-YAKE MSTAARABU na wake UJINGA!


Na,....
...UJINGA ukiustukia ni BONGE la SHULE.

Swali:
  • Unadhani unamahusiano mazuri na ujinga wako?
  • Kwani hujui BUSARA na mpaka sifa za asifiwaye ANAAKILI zinategemea uhusiano wako ukoje na UJINGA kama tu UHUSIANO WA ASIFIWAYE ulivyo na UJINGA uliomfanya awe na BUSARA au azimie kutumia AKILI?
  • Tukiangalia tena swala la matumizi ya AKILI, -Unafikiri wakati wa kunya na kula unatumia akili sawa?

NI WAZO TU HILI JEMADARI na wala usikonde ikiwa pia naamini unakumbuka KUNIBISHIA, au hata kunitukana kiduchu RUKSA!

Ngojea SAIDA KAROLI asaidie kuwapa wajanja kauli za kudanganyana katika-NAKUPENDA



Au tu H BABA aainishe swala la utamu wa-Mpenzi Bubu

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP