Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati unajiandaa kuiga ya YULE!

>> Wednesday, November 11, 2009

Labda YULE,....
...... kafanikiwa kuliko WEWE kwa mtazamo na kipimo CHAKO.


Lakini kumbuka ni kweli pia kipimo utumiacho KUPIMA ya YULE,....
....kinaweza kikawa si kipimo kizuri kwa wengine ingawa ni KIPIMO kizuri tu kupimia YAKO.:-(


Swali:
  • SI unakumbuka WEWE sio YULE?
  • Na si unajua ungangari wa mtu unategemea tu unatumia kipimo gani?
  • Na si unakumbuka Mimi sio WEWE wakati unanijaji na chako kipimo?

HILI ni WAZO tu MHESHIMIWA!

Hebu Mwanadada wa shoka MESHELL NDEGEOCELLO atupigie Bass Gitaa kiduchu



Au hebu Mwanadada wa shoka mwingine kwa jina Sheila E atupigie Drums


Na sasa India Arie amalizie kwa kitu-Brown Skin



Au tu India Arie aachie tu na kitu-Video

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 6:06 pm  

Lakini wakati mwingine kuiga kuna manufaa au.....

Yasinta Ngonyani 7:02 pm  

Kuiga inategemea unaiga nini sio kila kuoga tu:-(

Simon Kitururu 8:51 pm  

@Dada Yasinta na Mkuu CHIB: Si kuiga ndio kunasababisha matatizo yanajirudia DUNIANI na hata wamuaminio BABA na MAMA wanajikuta bila kuhitaji inabidi wamuamini mpaka Yesu kwa kurudia waliopita?

Lakini sipingi mlichosema.:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP