SIlaha kubwa ya KUTONGOZEA!
>> Tuesday, November 17, 2009
Kwa kifupi ni:
Mjue utakaye KUMTONGOZA!
Swali:
- Kwani hujifunzi kitu kutoka kwa MBUNGE WAKO hasa kwa staili zake HATA za kugawia watu ubwabwa wa bure kabla ya UCHAGUZI?
NIMEACHA!
Labda tutaonana  tena hapa kijiweni IJUMAA  au JUMAMOSI kama muda, afya au  tu uvivu vitaruhusu!
Nakutakia kila kheri angalau usikose kupata choo daima MHESHIMIWA!
TUKO PAMOJA!
Lakini kama una VIJISENTI kama vile  US Dollar milioni  1.2 ya kununulia ng'ombe mmoja TU mdeku basi mmoja wa mchumba wa ng'ombe dume  auzwaye bei hiyo HAPA
Au wakati nakuacha ngojea BURNING SPEARS arudie kuongelea uzoefu katika nyoko niihusuduyo iitwayo-This EXPERIENCE
 
  
 Posts
Posts
 
 




2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
:-)
kazi ipo:-)
Post a Comment