Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa kuna wapendao WATU MAARUFU!

>> Tuesday, November 17, 2009

Kuna washindwao kujizuia kuchekea mtu MAARUFU bila wala HATA KUCHUNGUZA na kujua kuna uwezekano umaarufu wa MAARUFU ni wasizozipenda HARUFU.

Swali:
  • SI ndio maana watu wa maana hawajulikani kwa kuwa asilimia kubwa ya watu wa maana KWA KUFANYA YA MAANA si maarufu?
  • Unabisha?
NYOOOO![Yani hili ni bonge la MSONYO kama hujastukia!]

NIMEACHA na kumbuka hili ni wazo TU!


Hebu Sir Shina Adewale alete tena kitu-Baba Wa Loke a Dupe

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP