Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Si unakumbuka kila mtu ANANUKA MDOMO ndio maana MSWAKI bomba la MAARUFU?

>> Thursday, November 12, 2009

Ndio BIN-ADAMU WOTE wananuka mdomo na hapa simaanishi wananuka KITUNGUU SWAUMU, kwa hiyo,....
......tunaweza kudai BINADAMU WOTE ni sawa.

Lakini kwa kuwa MIMI na WEWE tunajua KUWA kuna wanukao MDOMO ZAIDI kama tu KIKWAPA au tu KAMA kimavimavi kabla hawajapiga MSWAKI - kwa hiyo,....
.... NI KWELI pamoja na kuwa BINADAMU INASEMEKANA ni sawa, BASI katika usawa si SAWASAWA:-(

Swali :
  • Si unakumbuka kwa kawaida ni wengine wakustukiao unanuka MDOMO?
  • Na si unajua ukijihisi mwenyewe unanuka MDOMO KIMATAPUTAPU labda inamaana kiendeleacho ni HISIA ZAKO TU na LABDA UNUKACHO ni bonge la Kikoligeti ILIYOCHACHISHWA na UDENDA WAKO uliochacha?



NI WAZO TU HILI MKURUGENZI UNUKIAYE PAFYUMU na MWENYE kikwapa shwari!

Hebu twende Burundi KHADJA NIN abadili ustaarabu kwa kurudia kitu - SINA MALI , sina deni







Au tu tubakie Burundi Khadja NIN amuongelee -MAMA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Faith S Hilary 4:37 am  

Jaribu any London bus on Sunday morning....uuugh!!

Simon Kitururu 6:34 am  

@Candy1: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP