Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kisiri labda ni hulka ya MWANADAMU kutotaka kuwa huru!:-(

>> Monday, November 23, 2009

UKICHUNGUZA unaweza kustukia mpaka BINADAMU wenye makende HURU,...
... LABDA wahangaikiacho sana ni kutafutia KORODANI chupi ili makende nayo yakose UHURU.:-(

Swali:
  • SI umeshawahi kustukia BINADAMU HURU akipewa uhuru anaweza kuamua kujikosesha uhuru kwa kuamua KUOA au KUOLEWA?

  • Unafikiri kuna aliyeoa au kuolewa ambaye ni HURU?

Ni wazo tu hili BINGWA na kulibishia RUKSA!

Hebu Abby Sourya atupe kitu - Bokila

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 12:50 pm  

Hata kukaa mwenyewe ni kujikosesha uhuru wa kuwa na mwenzio au vp!!! :-)

Simon Kitururu 1:00 pm  

@Mkuu CHIB: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP