MUDA!
>> Friday, November 13, 2009
Madhumuni ya MUDA,....
.... labda NI kuhakikisha KILA VITU utakavyo vinanafasi YA PEKEE katika MUDA WAKO ambao ni MMOJA KIBINADAMU,....
.... ili visitokee AU usivipate kwa pamoja  VILIVYOOZA na  VINONO kwa MARA MOJA na kushindwa kutofautisha TAMU na  CHUNGU.
:-(
Swali:
- Si unajua ukipata kwa mara moja vyote HATA vya MCHUMBA unawezakushindwa kuelewa hivi MCHUMBA ANANUKA au ANANUKIA au - MCHUMBA hivi ni mtamu au ni Maumivu tu na malalamishi ndio kifurushi kitwacho MCHUMBA hata kabla hamjaruhusiwa kunanihii bila dhambi na LIMTU lenye dhambi?
- Ungepata vyote MUDA HUO HUO unafikiri ungejifunza au ungebaki mjinga- ungetumia muda huo kunya au kula?
NI wazo tu hili kiduchu la kwanini kuna MUDA ndio maana vyote havitokei mara moja ndio maana kuna muda unachupi safi!:-(
Tubadili na kumsikiliza Sting azungumzie-Shape of my heart
Au tu Tevin Campbell azungumzie-Tomorrow
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment