Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Staili ya WANAUME kuongelea MIMBA WASIZOPATA ifananavyo na jinsi WALOKOLE waongeleavyo MBINGUNI ambako bado HAWAJAFIKA!:-(

>> Tuesday, November 24, 2009

[Tahadhari : Wazo limepindia kushoto zaidi kidogo ya kulia ingawa si KWA sana!:-(]





Labda MIMBA,....
....... aijuaye vizuri ni MWANAMKE tena yule aliyewahi kupata MIMBA.:-(

Na kwa bahati mbaya kwa wanaume pia hata ile kazi ya KULIJAZA LIMTU MIMBA,...
..... tamu zake hata kwa kuwasikiliza TU WALIOJAZA na KUTOTOLESHA MTU utastukia kila mtu anashuhudia utamu KITOFAUTI ndio maana staili zipendelewazo kupekecha kila KIDUME upendeleo sio wote ni MUGONGOMUGONGO hata kama nia si kulijaza LIMTU mimba:-(


Ila kwa kuwa JAMII imefanya ni kawaida kuwa hata nikiwa maarufu KWA KUCHEZA MPIRA WA KABUMBU kuna watu wanadhani NAFAA UBUNGE au na ushauri mpaka wa KUCHEZA SINDIMBA,....
....kwa hiyo usishangae kwenye semina ya wajawazito ukakuta mkufunzi ni MWANAUME ambaye labda hajui kuwa hata watoto wake siyeye bali ni HAUSIBOI wake ndio aliyemsaidia kumjazia mke wake MIMBA.


Nakubali kuna MAGAIKOLONOJIST wanaume ambao shughuli yao kila siku ni kucheza na na maeneo yaingiziwayo MIMBA,....
.... ila kama MLOKOLE tu akuuziaye stori za MBINGUNI kuna uwezekano ajuaye mbinguni ni aliye wahi kufika MBINGUNI na kama watakakujua mimba labda suluhisho ni;'' PATA MIMBA!'':-(


NALIKATIZIA WAZO HILI HAPA!:-(

Swali:
  • Unauhakika kuna wanawake wawili wajisikiao MIMBA sawasawa?
  • Mheshimiwa hata kwa kuangalia tu pembejeo za kuzalishia ZA BINADAMU huwezi kustukia kati ya mwanaume na mwanamke utake ustake kuna mtaalamu wa kuingiza na Profesa wa yahusianayo na kuingizwa?
  • Kama wewe ni MWANAMKE uliofanikiwa kupata MIMBA unafikiri LIMTU lako lililofikiri linapata uroda ukapata mimba linaelewa nini kiliendelea katika YAKO MIMBA wakati unalea MIMBA?
  • Lakini hivi haiwezekani uchungu wa mwana akaujua BABA?

SAMAHANI kwa wazo na kumbuka NI WAZO TU HILI na KULIFYONZA ruksa!

Ngojea tushuhudie wapendao kula samaki mzima katika-Fried Fish Eaten Alive



Au tu SIZZLA abadili kwa kudai -Love U for who U are

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 5:15 pm  

Ahsanteeeeee! Mtakatifu Simon umenipa kicheko cha cheko mcheko hadi kucheka.

chib 5:45 pm  

Walokole........ :-)

Yasinta Ngonyani 6:37 pm  

Ameni...:-)

Faith S Hilary 4:35 am  

oi oi oi oi!!!...na huyo samaki dah...wanamtesa vibaya :-(

Upepo Mwanana 9:50 am  

Hii stori ni kali, he he he

Simon Kitururu 11:33 am  

@Askofu Fadhy +Mkuu CHIB +Da Yasinta: :-)

@Candy1: Lakini inasemekana staili ya nerves za Samaki maumivu yao ni tofauti nasi. Kwa hiyo labda kuteseka kwa Binadamu ni tofauti na kwa samaki. Ila lakini sielewi ni kwanini kama hii video ni kweli mtu aamue hiyo ndio bomba ya staili ya kumla samaki.:-(

@Upepo Mwanana: Asante kwa kunitembelea!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP