Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI MSIONIELEWA!

>> Friday, November 27, 2009

[Tahadhari: Hii post iliandikwa nami tarehe 30.09.2007 ila tatizo nililoliongelea kipindi hicho limejirudia ndio maana nimeidesa tena leo kutokana na uvivu wa kurudia topiki.:-(]

..............................

LAKINI inajulikana ....

......ukisema KITU si lazima mtu aelewe.

Naongea hivi kutokana na watu kadhaa kunitumia ujumbe mtukufu kuwa, kwanini nafanya mazingaombwe blogini , nakufanya kauli zangu na UJUMBE , kutowafikia chobisi.

WAKUU MLIONILENGA kwa manati, nashukuru kwa kunitonya kuwa, kigagagigikoko, nachoongea hapa bloguni, inawezekana ujumbe haufiki chumbani.

Nashukuru , kwa sababu , wengine hamnistui kuwa napitiliza katika kuandika vitumbua.

DONDOO:

Ukija hapa kijiweni, kumbuka jina la blogu hii.

Kumbuka blogu hii ni ya Simon Kitururu mawazoni.

Tatizo ni kuwa, sina wakati wakukupa mambo yote yanipitiayo MAWAZONI,
Najitahidi kukumegea sehemu fulani

Swali:
  • Hivi mambo mangapi yamekupitia akilini leo hii au saa hii?
  • Mangapi yaliyoko mawazoni mwako, ambayo ,ulitaka sie watundu tuyajue, umeya ndika sehemu ?

DUH!

Nawaheshimu watu waitao blogu zao, zetu.
Hii blogu ni yangu ndio maana nahisi naruhusiwa kutoeleweka ingawa sio nia yangu kutoeleweka.

AU?

Si unajua kwako, mwingine ajapo, anapewa jina mgeni?
Mgeni ni muhimu akigundua uko kivyako na ni ukweli unapenda ugali na mlenda.

Lakini......
.....
si unajua mgeni ndio huchinjiwa kuku mwenyeji umfaidio siku fulani ambazo haziitwi Maulidi wala Krisimasi?

DUH!

Nakuacha zaidi na picha zangu!

Nazidediketi kwa walioniambia,
...
kwanini kila nikiweka picha lazima na mimi niwepo pichani.
Sijui kwanini .
Najua wengine hawaweki picha zao, lakini mimi ni mimi.

AU?

Samahani kwa washikaji, kaka na dada, mama, baba na wote ambao hii posti haiwahusu.(Mambo mengine, inabidi yatamkwe kinamna kama wanitakiao mema, wana rudia kuniuliza hata kwa kutumia majina nisiyoyajua.)

DUH!
Endelea na picha
basi ambazo hazijapoa zangu na wadau.....

Naanza na za Cirque du Soleil ambazo nilizipiga kisiri.Nyingine zote zilipigwa kihalali:-)

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Samahani picha zangu na washikaji zimezidi!

Ngojea nikuache na picha angalau moja ya JEFF aka DJ JAZZY JEFF ambaye alikuwa anatusaidia kupitisha wiki mwisho hii...

Nimekusikia.
Ndio yule yule aliyemfanya WILL SMITH KUWA maarufu.
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

DUH!
Nahisi nimezidisha picha...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Msikilize basi na ile Klasiki....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP