Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Maisha ya BINADAMU ukiyafananisha NA ya INZI!

>> Monday, November 09, 2009

Kuna uwezekano KIMAANA maisha ya INZI ,....
.......wala si tofauti sana na ya MTU.


Wote huangaikia KULA, watake wasitake WATALALA na wakipata nafasi ni mabingwa kwa shughuli za kuijaza DUNIA ,halafu baada ya kuishi hawakawii KUFA.

Swali:

  • AU?
  • Kwani unafikiri BINADAMU anamzidi ujanja INZI kwa kuwa INZI hajafikiria kuvaa chupi au kuendesha baiskeli?

NI WAZO TU MHESHIMIWA!


Hebu OCG na TONNY LOV watusaidie wimbo-RAFIKI YANGU


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP