Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda SHULE NDIYO iliyonifunza mpaka KUHITAJI hata NISIVYOVIHITAJI!:-(

>> Tuesday, November 17, 2009

Pamoja na shule kusifiwa kwa KUSTUA watu vya muhimu wanavyohitaji,....


Swali:
  • Unafikiri kila uvitakavyo baada ya kumaliza shule ni kweli UNAVIHITAJI?
  • Unakumbuka kuwa labda UVIHITAJIVYO labda ndivyo HUVITAKI?
  • Hivi kwa kawaida unafikiri huwa unakumbuka asilimia ngapi ya ujifunzavyo shuleni?

NI wazo tu hii MHESHIMIWA na nakutakia JUMATISA njema!

Au ngojea tu Herbie Hancock atupe tena-Cantelope Island

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP