R.I.P Brother Haydain Neale!
>> Wednesday, November 25, 2009
Nilihusudu na NAHUSUDU  sana kazi zako Mkubwa!
Ndio!-  nilihusudu kazi za bendi yako pia ya  JACKSOUL .Ingawa nimechelewa kustukia umetutoka JUMAPILI iliyopita na sina uhakika kuwa wafu husikiliza waliohai katika stori za: ''MAREHEMU ALIKUWA MTU MZURI!'',....
.........R.I.P brother!
Kwa wasiomjua Haydain Neale ambaye wengine tulizimia kazi zake na JACKSOUL bofya hapa upate fununu ya alikuwa ni nani.
Kazi zako zinaendelea kuishi na mie naendelea kukusikiliza kama hivi katika kitu -Unconditional
Kitu-Shady Day
Au tu kitu-Still Believe In Love
 
  
 Posts
Posts
 
 





3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Marehemu astarehe kwa amani peponi amina. Na pole kwa jamii yote pia marafiki wote.
RIP. Pumzika salama. Nasi tupo twaja!
@Profesa: Hapo umesema ''NASI TUPO TWAJA!''
Post a Comment