Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati BINADAMU anajua NYAMA ya mtu sio SUMU!

>> Tuesday, November 10, 2009

[Tahadhari:Wazo limepinda na halimlengi MCHAWI]

Inasemekana NI KAWAIDA ikiwa KUNA awezaye kuua Mtu bila kufikiria kula nyama ya MTU.

Na wakati unaelewa BUSARA za BINADAMU za kutotaka kula watu HATA wakisikia NJAA,....
... si unaelewa bado haohao BINADAMU huweza kuua mtu kwa kupigania chakula kisa NJAA za KIMTU?

Binadamu MWENYE NJAA unaweza USIMTAMBUE.:-(


Swali:

  • Ushawahi kujiangalia sura wakati una njaa?
  • Wakati unajaribu kumuelewa MUNGU unafikiri BINADAMU anaeleweka?
  • Unafikiri DUNIANI kungekuwa na njaa kama BINADAMU ambao ni wauaji wangekuwa wanakula WATU?
HILI ni wazo tu MHESHIMIWA!

Hebu twende ZIMBABWE tena basi George Sibanda abadili kwa kutukumbusha kibao-Guabi Guabi



Au tu Bob Marley arudie kuongelea unafiki katika-Hypocrites

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP