Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LEO NI JUMAPILI - kama wewe ni MKRISTO uliyefanikiwa kutoamini KWELI YA KISABATO na UKAENDA TU kama wasioenda KANISANI kwa kuwa ni JUMAPILI!

>> Sunday, November 15, 2009

Swali:

  • Unauhakika ukienda kanisani huwa unaenda kufanya NINI?
  • SI unajua wakati unaenda kwa sababu zako KANISANI kuna walioenda nawe kanisani halafu wakadai walimpata MCHUMBA kanisani?
  • Ushastukia sababu za kwenda kanisani au Msikitini misingi yake ni ileile kama KIBWENGO nia na lengo ni kujipendekeza TU kwa wako MUNGU?

NI HILO TU !
Na hili ni wazo tu MHESHIMIWA na wala USIKONDE!

AU ngojea UB40 watuimbie PAMBIO itukumbushayo AMANDLA iitwayo-Sing our own Song



Au MYKAL ROZE adai -ONE a WE, TWO a WE


Au tu MYKAL ROZE anuktishe mshawasha kwa kuongelea-Too SHORT TEMPER

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:51 pm  

Ya leo kali, mi nilijua naenda kanisani kwa kumshukuru mungu:-)

Bennet 5:16 pm  

Ni kweli wengi tunaenda kwenye nyumba za ibada kwa kufuata mkumbo tu.

Mzee wa Changamoto 5:38 am  

Kwetu "Tifu" yamaanisha FUJO. Na leo naona hapa panaitwa kwa Mtaka-tifu Simon.
Sijui nimuite MTAKAFUJO SIMON KITURURU ama??
Naacha nikimbie kanisani kusali

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP