Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Samahani kwa NAOFANIKIWA kuwakwaza na KUWAKOSEA!

>> Monday, November 16, 2009

Kwa vitendo , SAMAHANI
Kwa maneno, SAMAHANI
Kwako Wewe, SAMAHANI
Kama nimekukosea!


Nimejisikia tu KUKUOMBA MSAMAHA kwa kuwa naamini kama BINADAMU kibinadamu kuna MTUZ bwelele hata bila kupanga NAWAKOSEA:-(

Swali:
  • Unauhakika niwangapi wasemao ''SAMAHANI '' wanamaanisha '' SAMAHANI ''na sio - ''SHENZI WE lione meno kama ngiri '' kwa kutumia neno ''SAMAHANI''?


Ngojea Brenda Fassie adai-WEWE


Au tu adai pia-Nakupenda

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP