Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

RUTINI ZA MAISHA ndio kisa DUNIA HAINOGI KILA SIKU na kwa KUMBOA BINADAMU inafanya MTUZ KIBAO kuchoka maisha au tu hata LIMPENZI !:-(

>> Friday, November 13, 2009

Kama leo,......
....UMEAMKA, kunywa, FANYAKAZI, kula, FIKIRIA NGONO, fikiria ndugu, NUNIA RAFIKI, chekea adui, KULA NGOMA,....
......kula wali HALAFU ukalala!



Kama kesho,.......
....UTAAMKA, kunywa, FANYAKAZI, kula, FIKIRIA NGONO, fikiria ndugu, NUNIA RAFIKI, chekea adui, KULA NGOMA,....
......kula ubwabwa HALAFU utalala!


AU TU......
Kama kila siku,.....
.....UNAAMKA, unakula na KULALA kama MWAKA JANA na MWAKA JUZI tu,.....
...na unahisi hakuna dalili kuwa MWAKANI kama hutakufa kutakuwa na mabadiliko ya RUTINI ZAKO KIMAISHA hata za jinsi upendavyo kukojoa bafuni wakati unaoga kwa kudhani ni siri,.....

Swali:
  • Hufikirii RUTINI hizi za MAISHANI hazijawahi kumfanya Basha kwa kuwa tu yuko BOADI/KACHOSHWA NA RUTINI afikirie kujaribu Usenge?
  • Hufikirii RUTINI HIZI MAISHANI HUZAA kutokuridhika hata na tamu mpaka hata katikati ya utamu WA YA DUNIA mtu akajikuta anafikiria ya MBINGUNI ASIYOYAJUA kwa kuwa tu RUTINI za ya DUNIANI zinaboa?

  • Si unajua usipobadili hata RUTINI YA KUMLA DENDA MPENZI, limpenzi lako linaweza kuanza kukuboa na kuanza kukufanya uanze kufikiria labda midomo ya BAAMEIDI WA BAA YA JIRANI AKUCHEKEAYE kwa kula denda inaweza kuwa ni mitamu kama ya limpenzi LAKO LA KWANZA lililo kutema kabla ya MPENZI HUYU uliyenaye kukudaka kwa mwendo wake TU wa kama kabanwa haja kubwa?

  • Kwani RUTINI YAKO YA kila siku KUMCHEKEA BOSI haikuchoshi na kukufanya uanze kuhisi mesenja naye kaumbika KWELI kimatamanio kwa kuwa ndiye AKUCHEKEAYE?





RUTINI zaweza kukufanya MPAKA ukabadili dini usiyoielewa,....

..... na kujikuta UNAFARIJIKA na KUFUATA dini nyingine USIYOIELEWA kwa kuwa tu NI KWA NYINGINE TU STAILI hutumika kumlilia MUNGU yuleyule KWENYE DINI NYINGINE ambaye hata kwa dini hiyo nyingine bado HUMUELEWI.


:-(

NIMEACHA wazo na kumbuka HILI NI WAZO TU Mheshimiwa!


Hebu tuone rutini zisababishavyo baadhi ya watu wafurahie mpaka hii katika-Sweden GOT talent



Au hebu MAD ICE ambaye ni huyu hapa niliyekuwa naye juzi ya jana



Arudishe ustaarabu kijiweni kwa kibao- Babygal











Au tu MBARAKA MWINSHEHE naye arudishe ustaarabu kijiweni kwa kuzungumzia machaleyakekatika-Mashemeji Wangapi

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP