Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kuuangalia tena WASIWASI WANGU kuwa kuna ukweli kuwa MTU MBAYA kwako bado anaweza KUWA ni MALAIKA kwa MWINGINE!:-(

>> Monday, November 16, 2009

Kuna uwezekano KABISAA,...
...UTU UZURI wa watu WAMZUNGUKAO Mheshimiwa KIBWENGO,....

..... unauwezo PIA wakusababisha KIBWENGO kawa MTU MBAYA.


Swali:
  • Unauhakika ubaya wa mtu ni nini - ukizingatia hata NIA ZA UTU UZURI WA WAZAZI unaweza kuzaa bonge la toto vivu, linadeka na kufikiri wengine si muhimu kama lenyewe?
  • Kwani unauhakika kuwa weye ni mtu mbaya kwa nani?
  • Au unafikiri weye ni mtu mzuri kwa kila mtu?



Ni wazo tu MHESHIMIWA na unaruhusiwa kwenda chooni kama umebanwa!

Au tuletewe ustaarabu na IMAGINATION wakizungumzia tena kitu -Illusion

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP