Sunday, November 08, 2009

HUWA kunatofauti ya HISIA kama ni MHESHIMIWA UHISIYE ndiye aliye JAMBA!:-(

Lakini hata kama hutaki kukiri, ....
.......MHESHIMIWA ni HESHIMA zako tu.:-(





Na kwa BAHATI MBAYA ukiwa na HESHIMA,...
....umheshimuye UTAMJAJI TU mpaka anavyo JAMBA.:-(


Swali:

  • Kwani HUJASTUKIA kuwa hushangai SANA ukisikia usiye MHESHIMU SANA akijamba?
  • Si unajua kutofautisha kujamba vizuri na kunya vibaya?

NAACHA WAZO katika spirit ya kuhisi unajua HILI NI WAZO TU na halina uhusiano WOWOTE na kitendo cha KUJAMBA!


Hebu basi LENNY KRAVITZ arudie nyoko iitwayo-I belong to U


Au tu Seal anyokolishe kwa kitu-This could be HEAVEN


LAKINI nipo MHESHIMIWA kama tu idakwavyo na picha hizi za juzi ya jana nikiwa na WADAU....

Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket





Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket

5 kommenttia:

SIMON KITURURU said...

@Da Mija: Nywele zangu zina miaka kama Mitano hivi. Huyu Mwanadada Dobet Gnahoré alikuwa anaimba.

Mija Shija Sayi said...

Kirururu hivi nywele zako zina muda gani sasa? na yule dada alikuwa anafanya sanaa gani pale chini akiwa amekaa?

chib said...

Ulanzi unaruhusiwa hapo!! :-)

Mija Shija Sayi said...

Asante kwa jibu Kitururu, una nywele sana naona miaka mitano ni michache kwa urefu huo ingekuwa mimi au kaka yangu Majjid Mjengwa nadhani si chini ya miaka ishirini.

Stay blessed.

SIMON KITURURU said...

@Mkuu CHIB :-)
@Da Mija: Kwa bahati mbaya Nywele zangu hazikui haraka kichwani kote na nahisi baada ya miaka mitano mingine nitakuwa na bonge la kipara kwenye chogo:-(