Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Damn! KWA MAMA YAKO weye INAONEKANA unawezakusifiwa WEYE ni MZURI WEYE, kama NYOKO VILE!

>> Sunday, November 15, 2009

Swali:

  • Unafikiri MAMA YAKO aliyemzimikia BABA YAKO kwa mvutio wake wa pua kama TREKTA ambacho NDIO kitu apendacho mama,- ni kweli akikusifia kuwa WEYE MZURI uliye TOTO LAKE na WAKATI una pua kama KIATU cha zamani CHA MCHAGA KAJITAHIDI,- hufikiriii labda wasifiwao na mama ukizingatia SHINIKIZO LA MZAZI KUTOKA KWA JAMII katika kusifia hata toto lao KIKOJOZI kuwa mkojo wake haunuki sana, - labda WANAJISIKIA VIZURI kwa kudanganywa kwa kuwa KUNA BONGE LA FARAJA katika MTU kudanganywa?
  • Unaamini ni kweli yasemwayo kila TOTOZ ni zuri kwa MAMA YAKE yana ukweli?
  • Na si unakumbuka PENZI LA MAMA ni moja ya sababu ya TOTO HATA LISILO NA BICHWA KAMA BIRINGANYA kupigwa konzi NA MAMA na hilo ni kabla ya kufinywa na MAMA?

HILI ni wazo tu MHESHIMIWA na ujazo wake wa fundisho kunauwezekano SAIZI YAKE ni CHUCHU YA MBU ANYONYESHAYE na kwahiyo USITISHIKE Mkuu.:-(

Tubadili kwa kuendelea na SALIF KEITA naye anyolishe kwa kibao-AFRICA




Au tu ngojea SALIF KEITA amwage tu -SUMU


Basi bwana ngojea tu SALIF KEITA amalizie TU kwa kitu-Tekere

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP