Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sababu za kweli kwanini inasemekana DAKTARI anaheshimiwa zaidi ya MFAGIZI!

>> Tuesday, November 17, 2009

JIBU:

Ni kwa kuwa labda kwa ASIYEHESHIMU MFAGIZI ,...

....huyo MFAGIZI sio BABA YAKE ,...
...na kunauwezekano pia hata hilo LIMFAGIZI lingekuwa ni LIMAMA LAKE - toto lililofunzwa heshima lingestukia , ..
.

....-MFAGIZI ni bomba la MHESHIMIWA kama PADRE na ASKOFU TU wa KIKATOLIKI kwa WAKATOLIKI wazimiao KWELI ZA KIKATOLIKI kiheshima.


Swali:
  • AU?
  • Kama misingi ya heshima zako kwa DAKITARI ni kwa kuwa hujui ya DAKTARI kama uyajuavyo ya MFAGIZI unayeweza kumuigilizia kirahisi kusugua choo, huhisi una kaudhaifu na dalili za kumuheshimu zaidi MCHAWI ambaye sayansi zake hata DAKITARI inasemekana zinamshinda kabla hata ya kumtoa jasho?

NI WAZO tu MAMA KISEBENGO na wala USITISHIKE!

Ngojea TLC wabadili kwa kurudia-Waterfalls

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP