Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati unastukia mpaka wauaji kama HITLER wa UJERUMANI na STALIN wa URUSI wote walikuwa ni waimba kwaya KANISANI!

>> Friday, November 13, 2009

Tukumbuke tu,...
.... kama NI KWELI muuaji si mpaka achukue silaha mwenyewe kuua KAMA AMRI ZAKE TU zinatosha kuua,....
....BASI....
...Rais OBAMA, Rais NYERERE, Mandela, Rais Mkapa, Kawawa na Vijiji vyake vya ujamaa , POPE JOHN PAUL kama kweli mambo kwa soksi yangeokoa BINGWA kuambukizwa angalau KISONONO na mwenye UKIMWI, .......
.
... WOTE NI WAUAJI.:-(




Swali:
  • SI unakumbuka kunauwezekano mkubwa mpaka una DINI uliyonayo kwa kuwa TU kwa tafsiri za dini yako, waliokuletea ilibidi waieneze kwa UPANGA a.k.a kuua MTU KIBAO a.ka ZA KUTOSHA yote ikiwa ni katika kueneza amani na neno la Mungu wako wa UPENDO akupendaye ndio maana weye bonge la MLOKOLE?
  • Unauhakika hutaua kweli angalau kwa uchoyo au tu kwa kukosa ule uchoyo na kucheza bila soksi wakati unautukufu WAKUJUA UNA bonge la gono wakati kinga ya mwili ina bonge la kwashakoo kwa kuwa kwa bahati mbaya ulishadaka MDUDU?
  • Unauhakika angalau maamuzi yako fulani hayajaua mtu tayari hata kwa kumnyima tu lifti mtu halafu akadedi kwa kutokuwahi kwenda ulikokuwa unaelekea?


TUNAKUMBUSHANA TU BINGWA responsibilities BANANGENGE hata kama vita yako katika HILI silaha ni MANATI!:-(
Hebu Kaysha abadili hali ya hewa kwa kurudia -Something going on

Au tu Labi Siffre alete kitu siriasi katika-Something inside so Strong

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP