Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sura ya SEHEMU ZA SIRI, wakati labda SIRI NZURI ni ile MBAYA!

>> Friday, November 13, 2009

Kwa kawaida ya SIRI
TENDO ndo TAMU ya SIRI
Ingawa wazo ndo SIRI
Siri sehemu za siri


Kila mtu ana SIRI
Umuhimu 'ke si SIRI
Na sio kisura SIRI
Siri sehemu za siri


Hata kwa jicho la SIRI
Nzuri sehemu ya SIRI
Si sura ya hicho SIRI
Na nzuri ni MBAYA siri


Kwake mficha SIRI
KICHWANI ndo kwa SIRI
Na dunia si pa SIRI
Kichwa stoo ya SIRI.

Swali:

  • Una uhakika una siri?
  • Hudhani FARAJA YA ADHANIAYE ANA SIRI si kwa kuwa tu HAMFAHAMU TU aijuaye yake SIRI?


HILI NI WAZO TU WEYE MWENYE SIRI na wala USITISHIKE kama unadhania hata ukitishika waweza kufanya hilo SIRI.

Ngojea tuletewe ngoma ya Mpwito kutoka kwa OWEN GREY akigusa HITS KADHAA

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP