Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama LEO ilikuwa NGUMU!

>> Saturday, November 07, 2009

Na kwa UGUMU,....
.... ingekuwa bomba au kupendeza kama UGUMU ungekuwa unatukumbusha URAHISI.:-(


Na labda kwa UGUMU,....
.... tunakumbushwa UBINADAMU sio RAHISI.


Na wakati jambo ni GUMU,...
.... kumbuka kuwa kama wewe si malaika hakuna cha zaidi ...
..... zaidi ya jambo lifuatalo gumu , HATA KAMA nalo ni GUMU ,kuleta hata danganyatoto itakayolifanya ukilifananisha na lililotangulia lioneakanalo gumu, hili ni RAHISI.


Leo kwanguNAHISI ilikuwa NGUMU,....
.... na labda kuongelea jambo GUMU ndio wenyewe URAHISI!:-(
Swali:
  • AU?

NI hilo tu MKUU wa MEZA !




Ngojea Black Star- Shakila adai-Moyo unalia macho yanacheka


Au tu Raphael Saadiq ft Q TIP abadili kwa kitu-Get involved

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP