Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Swala zima nyuma ya HALI - HALISI ya ombi; ''WEYE MZURI kweli kimuonekano , NAOMBA KUKUONJA!'':-(

>> Sunday, November 15, 2009

LAKINI,....
....tukumbuke UZURI UONEKANAO labda sio DALILI YA KUWA KITU KIONEKANACHO kina ladha na manufaa KIMLO TAMUTAMU /kimuonjo na LABDA ndio SABABU na maana WATU kibao WANAKULA MAHARAGE na sio yapendezayo MAUA ROZI!.:-(


NA KAMA WEWE ni MAKINI,...
.... ukionja tamu KADHAA HASA KWA BAHATI MBAYA, na kama wewe ni MIONGONI MWA WASIOHUSUDU WENYE SURA MBAYA unaweza kustukia siri ya mjanja MWENYE MPENZI SURA MBAYA angalau HATA kwa mara ya kwanza UKISIKILIZIA UTAMU wa asali isiyokuwa na sura nzuri NAKUSTUKIA UKWELI KUWA kwa kawaida NDUDE haina sura kama ni TAMU kama unajua UMUHIMU KATIKA TAMU YAKO haihitaji MUONEKANO au kumuangalia sana AKUPAYE tamu DOZI.:-(


HILI ni wazo tu CHEKIBOBU na NIMELIACHA !

Hebu tupewe dozi kutoka kwa Manu DIBANGO tena akinyolisha kuhusu -AFRICA



Au MANU DIBANGO alete pia kitu - Reggae MAKOSSSA



Basi ngojea tu MANU DIBANGO aje tu na SALIF KEITA katika banangenge iitwayo-Em´ma


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP