Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo kwa WATANZANIA walioko FINLAND!

>> Thursday, November 12, 2009

Mkutano wa Jumamosi Rauhanasema‏

Ndugu wapendwa,
Napenda kuwajulisha kuwa Kaimu balozi wetu atakutana na watanzania jumamosi, tarehe 14 Novemba kwenye ukumbi wa Rauhanasema, Itä Pasila, Veturitori 3, Helsinki kuanzia saa 8 hadi saa 10 jioni. Ukumbi ni ule ule ambao tunautumia siku zote kwa ajili ya shughuli zetu za kusherehekea siku ya Uhuru.
Wote mnakaribishwa. Naomba vilevile mnisaidie kusambaza ujumbe kwa wale ambao hawatakuwa na taarifa.
Wa Salaam,
Humphrey

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP