Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NGUZA VIKING aka Babu SEA upooo !Unakumbukwa na mwanao PAPII KOCHA pia AISEE!:-(

>> Friday, August 05, 2011

 NDIO,...
... YALIYOKUWEKA JELA sie wengine HATUJUI,...
... hasa kwa kuwa  kila MTU analake la kusema!
Swali:
  • Babu si unajua katika yasemwayo INASEMEKANA  kila mtu ana mdomo na kusema chochote ni RUKSA?

Kuna ambao tunakukumbuka uko JELA,....
... na jua tu ingawa  umefungwa  muziki wako ni huru AISEEE!

Hebu tumkumbuke kidogo NGUZA VIKING ,...
....na PAPII KOCHA ambao wako gerezani bado,...
... kwa mnyuko-SEA





Kwa washabiki TUSIO NA USHAHIDI WA MAKOSA YENU nyie mko HURU aisee,...
.....KIKAZI ZENU!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP