Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Inasemekana ROHO huuma zaidi ya MATAKO!

>> Friday, August 12, 2011

Na kwa aliye umizwa ROHO,...

...... inasemekana anaweza akakosa pakukuonyesha,...
.... ukimuomba akuonyeshe maumivu yake yako wapi,...
... ingawa ANAUMIA.:-(


Swali:
  • Si inasemekana moyo sio mgumu kama kijiti lakini kuna WAVUNJIKAO hata moyo na wanamaumivu kama ushahidi?
  • Ushawahi kuumizwa roho/MOYO?
Ndio,...
... ni wazo tu hili!

Ijumaa na WIKIENDI njema MKUU!



Hebu tupitie tena KENYA ili mwanadada WAHU aanzishe tena kwa-Sweet love




Au hebu Ms Dynamite arudie- Dy-Na-Mi-Tee



Au tu AMANI amalizie tena kwa -Missing My Baby


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP