Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mbinguni kama ni KIGOMA na usafiri ni WA reli ya KATI!

>> Thursday, August 11, 2011

Tatizo la kuwaza KIBINADAMU ni  kuwa,....
..... unaweza kujikuta mpaka ya KIMUNGU  unayawaza KIBINADAMU.


Na moja  la liwazwalo na BINADAMU ni lile la uzuri wa  MBINGUNI,.....
..... na kitishacho ni kwamba wote tunajua kuwa  hakuna ajuaye  ya MBINGUNI kwa kuwa stori za wafu huwawanabaki nazo WAFU.

Swali:
  • SI labda kuna mambo WALIOHAI wakubali tu kutojua?

Ndio,....
..... GHAFLA nimejikuta nawaza ya MBINGUNI,....
..... na ni kweli SIJUI na niwasikilizao na niyasikiayo mengi  MAZURI  ,....
.... uzuri wake hufanana na nani anaye yasimulia anafikiri UZURI ni nini !:-(

Swali zaidi:
  • SI unajua UZURI WA KITU  kwangu labda havifanani na UZURI kwako?
Naendelea kuwaza!:-(

Na wakati naendelea kuwaza hebu twende ZIMBABWE ili CHIWONISO aachie-ANCIENT VOICES




Chiwoniso aachie na kitu-MAI



Kabla hajamalizia live kwa-Rebel Woman

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP