Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwenye NDOTO maisha MATAMU,...

>> Wednesday, August 24, 2011

.....ingawa kwenye NDOTO,...
..... kuna MAJINAMIZI pia!:-(


Ni wazo tu hili MKUU!



Hebu CHUCK BROWN arudishe Go GO Music kwa -Block Party



CHUCK BROWN aendeleze GOGO style kwa- The Party Roll





AU amalizie tu kwa-Bustin' Loose

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:45 am  

Duh! yaani sijui imekuwaje maana nimeota ndoto leo halafu eti nimeisahau...

Anonymous 1:21 pm  

Ndoto. kweli ni maisha matamu,hata mjinamizi nimojawapo katika maisha hayo matamu.zipo ndoto zingine bwana sijuwi huwa ni kuwaza au laa! enzi hizo niko Tambaza,baada ya disco la mchana , na dada zetu/wachumbazetu, Zanaki sec,ukirudinyumabani usiku umelala unakumbukua ilivyo kuwa asubuhi ukifika shuleni,stori zina anza.............. jana niliota doh!? weacha tu.......basi hapo washikaji watakuuliza usimulie ilikuwaje,namatokeo yake lazima ndan iyake uweke kamba na chumvi kidogo ilikunogesha ndoto. Kaka S

Simon Kitururu 4:06 pm  

@Kaka S na Dada Yasinta:Ndoto we achatu!:-(

Yasinta Ngonyani 4:09 pm  

kUNA RAFIKI YANGU MMOJA ALINISUMULIA NDOTO MMMHH! YAANI ....

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP