Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama unauhakika na MTU labda kuna kitu hujui kimfanyacho HUYO ni bonge la MTU kiutu!

>> Friday, August 12, 2011

Swali:

  • Si inajulikana moja ya sifa za UBINADAMU ni kutokutabirika kwa kuwa tofauti ya BINADAMU na MALAIKA ni UTU?

Ndio,....
..... labda BINADAMU hata akiitwa PAPA JOHN PAUL au MTAKATIFU au hata mkuu wa WASUKUMA MKOKOTENI,...
...... ilimradi tu HUYO ni MTU ,....
....... hata wakati unashabikia uyapendayo MAZURI kuhusu HUYO,....
...... kumbuka huyo kama ni MTU ,...
... ana UDHAIFU TU FULANI BADO wa KIBINADAMU.:-(
Swali:
  • Unabisha?


Ni wazo tu hili KINGUNGE!



Hebu ALI KIBA aanzishe upya kwa -Nakshi Mrembo


Ali Kiba arudie pia na-MAC MUGA



Au Seun KUTI atuhamishe kwa-Many THINGS



Femi Kuti na Mos Def warudie-DO your BEST





Femi Kuti, D'Angelo na Macy Gray waongezee dozi kwa- Water No Get Enemy



Kabla FELA KUTI mwenyewe hajamalizia kwa kurudia wimbo huohuo orijinale-Water NO get no ENEMY


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:16 pm  

Mmmmh!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP